Instagram story viewer> @royatz_> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kuna wakati hata vyombo vyenye mwendo zaidi ya miguu huachwa na kutumia miguu kuongeza mwendo. I LOVE NATURE INDEED😂 by @royatz_
1
4 months ago
Download
African by @royatz_
0
5 months ago
Download
A wise man ...#intergrity by @royatz_
0
6 months ago
Download
Finalist ..#afcon by @royatz_
0
6 months ago
Download
Happy B day to you Diana.
Ukafanikiwe kwa viwango vya juu.💪👂Kiii... Kumbukizi hii ikawe msingi wa mema mengi kwako. by @royatz_
4
7 months ago
Download
Happy B day dear Sister.
Kila la kheri katika kumbukizi hii muhimu, ukawe na kesho njema yenye kupendeza. by @royatz_
5
7 months ago
Download
As a man thinkenth on his heart so he is...perhaps mine is thinking😊😊😊 ...silent pls. by @royatz_
6
7 months ago
Download
taken in Tanzania, East Africa by @royatz_
0
8 months ago
Download
Taifa limelemewa taken in Sanya Juu, Kilimanjaro, Tanzania by @royatz_
0
9 months ago
Download
All the best @taifastars by @royatz_
0
a year ago
Download
🚨MASWALI MUHIMU.

1. Siasa ni nini?
2. Unaweza kuishi bila kujihusisha na siasa?
3.Kushiriki au kutoshiriki uchaguzi kuna athari zozote?

🚨DHANA POTOFU KUHUSU SIASA.

1.Siasa ni kuwa CCM au CHADEMA au chama  kingine cha siasa ❌
2. Siasa ni mchezo mchafu❌
3.Kutoshiriki uchaguzi ni jambo la kawaida❌
4. Kuamini kwamba wapo waliozaliwa ili watawale ❌

🚨UKWELI WA MAMBO NO HUU.

📌Siasa ni mfumo wa uendeshaji wa mambo katika Taifa flani ambao ndani yake hubeba vitu vingi ikiwemo namna kupata na kuwatoa viongozi, Muundo wa uongozi, upangaji wa namna ya matumizi ya rasilimali za Nchi pamoja na mambo mengi mengi.

📌Haiwezekani kuishi bila kujihusisha na siasa kwa sababu mambo tunayokutana nayo katika maisha ya kila siku yanatokana na mfumo wa siasa mfano..matumizi ya rasilimali kama bahari, maziwa, Biashara, Kodi, Makazi, Ujenzi, Sheria za barabarani , bei za bidhaa, mifumo ya ajira, mahakama, Huduma za kijamii nk. 👉Hivyo ukisikia mtu akisema siasa haimhusu basi ujue hatambui anachokisema, siasa ni swala mtambuka yani ushiriki au kutoshiriki athari zake zitakukumba tuu ..👨👩Ukiacha Wahuni washike Nchi basi watakunyoa hata kama hauna nywele.👉Siasa ni kama Hali ya hewa Wenye viwanda vingi Vinavyochafua hewa wapo Marekani,Ulaya na Uchina lakini athari za viwanda hivyo zinamwathiri mpaka 👉Mmakonde wa Tandahimba, 👉Mhaya wa Ngara, 👉Mnyakyusa wa Tunduma na👉 Mchaga wa Sanya juu bila kujali anamiliki kiwanda au lah.

📌Tusichukulie poa Uchaguzi, baada ya kupewa hongo na Pombe za bure tufanye kweli kwenye uchaguzi kwa kuchagua viumbe wanaoweza kubadili hali ya Mambo. Tukiendelea kubeti na kushabikia Simba na yanga tuu kuna siku tutamsingizia shetani mambo yasiyomhusu  na Kumsumbua Mungu wakati tulipewa UBONGO tukabakiza BONGO. 

📌Madaraka ni kitu cha hatari iwapo utamkabidhi asiyejitambua basi lazima utalipa kwa gharama makosa hayo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Mwizi hanung'unikiwi huwa anatafutwa na kuadhibiwa kubaki unalalamika kwa miaka 20 bila kusimama ni Ujangili vilevile.

📌Huu ni wakati wa kutumia kila kipawa ulichonacho kuhakikisha Kisicho faa kinabaki Mtaani na sio kwenda Bungeni.

"MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUWA CHAWA"

😏😷#Sautiyabubu
✏📷#RoyaTz

#l by @royatz_
0
a year ago
Download
Mugabe on table..📌 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @royatz_
0
a year ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up