Instagram story viewer> @rupia_finest> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Unaiona wapi morocco kupitia mechi ya jana ya fainali za kombe la dunia  dhidi ya brazil iliyoisha kwa sare ya 1-1 #worldcup2026🏆🇮🇳❣️ by @rupia_finest
0
a month ago
Download
 by @rupia_finest
9
6 months ago
Download
#mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani✊# by @rupia_finest
4
2 months ago
Download
Swali :Je Historia itajirudia tena kama mwaka 2010? 

✍️@mr_storytz
🔊@rupia_finest

Cc
@psj_tanzania by @rupia_finest
1
a month ago
Download
Leo Kwenye USHINDI TALKS nakuletea vocalist, mzee wa mgeni njoo mwenyeji apone @gilbertjohannes  kwasababu bado siku 11 kufika Juni 11, siku ambayo michuano ya Kombe la Dunia itaanza na yeye ni mbobevu kwenye michezo na burudani kitaifa na kimataifa.

Gilbert anatukumbusha mechi zote 104 za kabumbu la Dunia zitakazochezwa Marekani, Mexico na Canada utazishuhudia mwanzo mwisho mubashara kupitia @azamtvtz kwenye channel ya AzamSports2HD na AzamSports4HD bila kusahau highlights, uchambuzi, uchechemuzi na udambwi dambwi wote utausikiliza kupitia SPORTS BUNDLE na U-LIVE kwenye @ufmradiotz by @rupia_finest
6
2 months ago
Download
Huyu hapa Sharifu na Chief wa Taifa Letu kwenye upande wa burudani @qchief_official @official_qchief  anasema tumtangulize Mungu Mbele ili tuweze kufanikiwa, mimi ni nani nisiwaletee ushauri wake, hapa ni macho kwa masikio mpaka tutoboe
Hii ni USHINDI TALKS 
#sisinifamiliamoja by @rupia_finest
2
2 months ago
Download
Ni sele gomezzzzzz by @rupia_finest
0
3 months ago
Download
Simba wamepata penalties dakika za niongeza 122 by @rupia_finest
0
3 months ago
Download
Ukisikia man to man ndo hii by @rupia_finest
2
3 months ago
Download
Semaji pumzi kisoda ndani ya amani zanziba ngoma bado mbichi ngoma bado ni bila bila extra time dakika ya 104 by @rupia_finest
0
3 months ago
Download
Hivi karibuni kulikua kuna maneno mengi sana yakizungumzwa kwamba mara oooh kuna mtu ananunua mechi mara oooh wanashinda magoli mepesi.

Sasa ndani ya wiki hii ndo tutajua ukweli wote kuhusu maneno hayo je ni yakweli au uwoga wa mtu tu😂

Muungano na ligi kuu nbc @simbasctanzania vs @@yangasc 

@ahmedally_ @alikamwe @ligikuu @hajismanara__ by @rupia_finest
0
3 months ago
Download
Ahmed ally akisema kuwa swala la wao kutaka kujivunja limeshalufa kwasababu ndo wameshashinda na wanaenda kukutana na watani wao wa jadi yanga kwenye mchezo wa fainali ya kombe la muungano by @rupia_finest
0
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up