Instagram story viewer> @selcom_mfb> Posts
2474
posts
19.4K
followers
8
following
Benki yenye kumjali mjasiriamali mdogo mdogo na wakati.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
#selcominatosha by @selcom_mfb
64
2 years ago
Download
Tuambie kwenye comment 👇

#selcompesa by @selcom_mfb
11
20 hours ago
Download
Bado unahisi maokoto hayalipi? 

Wikiendi ukiwa out na marafiki, Pata faida kwa kumualika rafiki kujiunga na Selcom Pesa!🔥

Mualike rafiki kupakua Selcom Pesa. Akisajili na kununua Bando la Miamala, wewe utapata 50% ya bando, na yeye pia atapata 50% ya bando.

Kadri unavyowaalika wengi zaidi, ndivyo unavyozidi kunufaika.

Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

#selcompesa by @selcom_mfb
2
a day ago
Download
Last-minute duty-free shopping? Say less. 🛍️

Switch to your USD Account and pay with your Selcom Pesa Mastercard for smooth payments while you’re on the move.

One card. Your USD. Ready to go. 

#selcompesa by @selcom_mfb
0
2 days ago
Download
Referral Moja, Lunch Imesort! 😎

Na wewe unaweza kujipatia maokoto kwa kuwaalika marafiki na familia kujiunga na Selcom Pesa. Kadri unavyowaalika wengi zaidi, ndivyo unavyozidi kujipatia zaidi. 

Usibaki kusikia story! Alika ndugu, jamaa na marafiki, mfaidike pamoja. 

#selcompesa 
 #switch2selcompesa 
 #makatomadogokuliko by @selcom_mfb
2
2 days ago
Download
Akaunti yako ya DOLA inaweza kufanya mengi kuliko unavyodhani!

Tuma pesa kwenda benki nyingine, hamisha USD kwenda TZS 24/7, lipa Lipa Namba, tuma pesa kwenda mitandao ya simu, na fanya manunuzi mtandaoni kwa Selcom Pesa Mastercard. 

Fungua Selcom Pesa App na anza kutumia USD akaunti yako leo!
#selcompesa by @selcom_mfb
6
3 days ago
Download
Mualike rafiki au mwanafamilia kujiunga na Selcom Pesa. Akinunua bando la miamala linalostahili, wote wawili mtapata zawadi kulingana na bando alilochagua.

Kadri unavyowaalika wengi zaidi, ndivyo unavyoendelea kujipatia zaidi.

Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

#selcompesa #makatomadogokuliko #switch2selcompesa by @selcom_mfb
2
4 days ago
Download
Karibu tukuhudumie, mteja wetu 🤝
Tupo wazi Jumatatu–Jumamosi, saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni. 

Tunakupa huduma bora, rahisi na yenye uhakika.

#selcominatosha 
#selcompesa by @selcom_mfb
12
4 days ago
Download
Tu dinero. Tu tiempo. Sin límites. 

De USD a TZS cuando quieras, donde quieras. Con Selcom Pesa USD Account, tú decides cuándo mover tu dinero. 24/7. 

#selcompesa 

Ni saa 5 usiku, unahitaji TZS haraka lakini pesa zako zipo kwenye USD Account… utafanyaje? 👀

Hakuna kusubiri kesho! Ukiwa na Selcom Pesa USD Account, unaweza kuhamisha pesa zako kutoka USD akaunti kwenda TZS wakati wowote, 24/7. 

Pesa yako hailali, na mahitaji yako hayasubiri. 😉
#selcompesa by @selcom_mfb
6
5 days ago
Download
ONE Spanish word only! Describe Selcom Pesa 👇🏾

#selcompesa by @selcom_mfb
55
5 days ago
Download
¡Piensa en grande. Muévete sin límites! 

Tus dólares, tus posibilidades. Con Selcom Pesa Global USD Account, lleva tu dinero contigo dondequiera que vayas. 

#selcompesa

Think big. Move without limits!

Your dollars, your possibilities. With Selcom Pesa Global USD Account, your money is ready to go wherever you go.

Open your Global USD Account today on the Selcom Pesa App.
#selcompesa by @selcom_mfb
0
6 days ago
Download
Sunday vibes bila makato? Yes please! 😌

Malizia wikiendi bila stress za makato. Lipa bili, fanya malipo na tuma pesa bila makato ukitumia Bando la Miamala. 

Jiunge bando na ufurahie kufanya miamala bila stress. 

#selcompesa by @selcom_mfb
6
7 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up