Instagram story viewer> @sezarialfred> Posts
1.8K
followers
7637
following
Aquaculture expat
Former President of fisheris
Former head boy at Tabasamu sec school
Father and politiction
POSTS STORIES REELS TAGGED
 by @sezarialfred
0
5 months ago
Download
Follow the AQUASEZA FISH channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaGsbef9cDDgMxwimn3e by @sezarialfred
0
8 months ago
Download
🎓 Karibu kwenye Darasa la Ufugaji wa Samaki kwa Mtaji Mdogo! 🐟

Unataka kuanza kufuga samaki kwa mtaji wa Tsh 50,000 tu? Mafunzo haya ni kwa ajili yako – hata kama huna uzoefu kabisa!

Utajifunza:
 ✅ Kutengeneza chakula cha samaki, kuku, bata na wanyama wengine
✅ Kuzalisha funza (BSF), Azolla & Duckweed kwa lishe bora
✅ Ufugaji wa samaki kuanzia sifuri hadi mavuno
✅ Uzalishaji wa vifaranga na samaki wa mapambo
➕ Masomo mengine 15 zaidi ya ziada kukuongezea maarifa

Mafunzo ni kwanjia ya online – jifunze popote, muda wowote.

💰21
 Ada: 50,000 TZS tu
📲 Lipa kwa M-Pesa +255769752665
Jina sezary Alfred sezary 
📞 Piga au tuma ujumbe kwa maelezo zaidi: +255769752665
 Darasa litaanza 15/8/2025

Jisajili kwenye number hapo juu

👉 Anza leo safari yako ya kujitegemea kwa kilimo cha kisasa! by @sezarialfred
1
a year ago
Download
 by @sezarialfred
2
3 years ago
Download
 by @sezarialfred
0
3 years ago
Download
Karibuni tufuge samaki aina ya kambale na sato kwa mabwawa mazuri na  mbegu nzuri za kambale na sato by @sezarialfred
1
4 years ago
Download
Mungu wewe ndio chanzo Cha uhai wangu najua maadui ni wengi Ila kwako adui Hana nafasi kwangu naombea viongozi wa taifa langu wasiote kiburi Bali wasikie mahitaji ya wananchi maana ni mahitaji yako baba ninafunga kila hila juu ya nchi yangu usiku huu Amen by @sezarialfred
2
4 years ago
Download
HAPPY NEW YEAR 2022

Leo nimeona nishee na wewe kuhusu namna ya kuendelea na mahusiano / urafiki na mtu ambaye hajakusaidia.

Usivunje mahusiano na mtu kwa sababu umehitaji msaada kwake na unajua ana uwezo wa kukusaidia ila hajakusaidia.

Sio kila wakati mtu atakupa msaada pale unapotaka.

Kuna wakati haitawezekana kwa sababu:

1 ). Kuna shida kubwa zaidi itakuja mbele yako ambayo Mungu anawahifadhi hao watu ili waje kukusaidia shida hiyo itakapotokea.

Wakikusaidia sasa hivi, hiyo shida kubwa itakapotokea wanaweza wasiwe Msaada kwa sababu wataona walishafanya.

Kiufupi ni kuwa Mungu anawahifadhi ili waje kukupa Msaada Mkubwa zaidi.

Muda wao haujafika, ukifika watafanya na utashukuru kwamba hawakukusaidia katika shida yako ya sasa hivi.

2 ). Kuna uvumilivu unatakiwa kujengewa ili Ukomae ufikie ndoto zako.

Ni kama mtoto usipomruhusu aanguke wakati anajifunza kutembelea, hataweza kutembea.

Kuna mambo yanatokea na unaachwa peke yako ili ujenge misuli ya changamoto kubwa mbele yako na kujifunza kusimama peke yako.

Uko darasani, usikimbie mtihani.

3 ). Kuna watu wana kiburi na wakikusaidia itakuwa matangazo kila kona.

Wanaamini hauwezi kufanikiwa bila wao.

Unapokuwa na shida hata kama wana uwezo wa kukusaidia, Mungu anawazuia ili wasije kujisifu.

Mungu anataka kuonesha kuwa anaweza KUKUFANIKISHA BILA wao, atatumia watu wengine.

4 ). Kuna misaada ambayo inakuja na masharti ambayo yanaweza kukudhuru na kukupotezea mwelekeo wa maisha kabisa.

Kuna watu kwa sababu ya misaada waliyopokea, iliwalazimu kukana imani yao au kufanya mambo ambayo wameyajutia maisha yao yote na kuwakosesha imani.

Kuna misaada inaambatana na ndoano ndani yake.

Mungu anawazuia kwa sababu anakupenda na hataki uingie huko usije ukaharibikiwa.

Jifunze kushukuru!

Kama mtu hajakusaidia USIMGEUZE kuwa ADUI yako.

Endelea kupambania MALENGO YAKO kuna siku utafanikiwa tu.

Kumbuka sio kila ambaye hakupi Msaada unapohitaji anakuchukia wengine wanatumiwa na Mungu kukusaidia kwa kutokukupa unachotaka. by @sezarialfred
5
5 years ago
Download
...kitu pekee ulichonacho ambacho hakuna mtu mwingine anacho ni wewe. Sauti yako, akili yako, maisha yako, malengo yako.Kwa hiyo ishi maisha ambayo wewe pekee unaweza kuishi. by @sezarialfred
0
5 years ago
Download
Hatia humtesa mtu, hatia humnyima mtu uhuru na hatia inaharibu saikolojia ya mtu. Je huoni vema kumsamehe aliyekukosea ili aondokane na hiyo hatia? Msamaha unagharimu na unahitaji feelings za ndani kabisa. Samehe anza mwezi kwa mapendo, maana UPENDO hautakabari na huvumilia yote. by @sezarialfred
0
5 years ago
Download
Rais wetu tupatie umoja ktk taifa tuponye tulipoondolewa mwanga by @sezarialfred
2
6 years ago
Download
FURUSA FURUSA

SEZARI AQUACULTURE SERVICES  iliyopo ndani ya jiji la MWANZA, inakuletea Huduma bora za ufugaji Samaki( viumbe hai Wa majini), tunatoa Huduma zifuatazo: uchaguzi Wa eneo la kuchimba bwawa, uchimbaji Wa mabwawa, ujenz Wa mabwawa Na kuweka plastic sheet, urutubishaji wa bwawa Na kukinga magonjwa ya Samak, kupima ubora Wa Maji ya kufugia Samaki, Vifaranga bora Vya Samaki aina ya sato Na kambale, Vyakula bora Vya Samaki, utengenezaji Wa Cage( ufugaji kwenye vizimba), uzalishaji wa vifaranga bora vya samaki, utengenezaj Wa Aquariums,(samaki wa mapambo) ujenzi Wa hatchary za kambale na sato  usafirishaji, Pamoja Na Huduma zote za ufugaji Samaki kwa mawasliano piga simu namba: 0769752665 WHATSAPP au 0676 607809 Huduma zetu zitakufikia  popote ulipo , nyote mnakaribishwa.

Nb
Ushauri ni bure kabisaaa by @sezarialfred
8
6 years ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up