Instagram story viewer> @shabbatune> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
FAMILIA ASANTENI SANA โค๏ธ๐Ÿ™

Kwa wale mmeshanunua #RAHA na mmetuma screenshot ya malipo, Mungu awabariki sana.
Support yenu ndio nguvu yangu.

KWA WALE BADO HAWAJA DOWNLOAD ๐Ÿ‘‡
Bei ni TZS 1,333 tu - M-Pesa, Airtel, Halotel, TigoPesa, T-Pesa zote zipo.
LINK IPO BIO YANGU ๐Ÿ‘†

Baada ya kulipa tuma screenshot hapa DM nikuwekee kwenye VIP list ๐Ÿ’ช
#Shabbatune #Sharobarorecords #RAHA by @shabbatune
7
2 months ago
Download
SHUKRANI ZA DHATI ๐Ÿ™

Nawashukuru sana mashabiki na familia yote kwa kununua wimbo mpya #RAHA.
Support yenu ndio inanipeleka mbali.

Kwa wale bado: Unaweza kulipia kwa M-Pesa, Airtel Money, Halotel, TigoPesa au T-Pesa.
Bei: TZS 1,333

NB: Nimekuwekea Link kwenye bio yang hapo juu ๐Ÿ‘†

Nunua hapa: [ #https://www.damaresi.com/song/1786865835741-bs04oo0ud ]

#SHABBATUNE #RAHA #SHAROBARORECORDS 
Tusonge pamoja! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ by @shabbatune
4
2 months ago
Download
#RAHA Is Out now via all digital storyโ€™s Link kwenye bio ๐Ÿ‘†
Audio Prod by @ematheboy_himself 
Ndani ya @sharobarorecords 

Special thanks to my brother @bobjuniortz๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ 

#RAHA #BongoFlava #BongoMusic #SwahiliMusic taken in Sharobaro Studio by @shabbatune
60
2 months ago
Download
#MSHOBOZI Feat @seeway4bad is Out now Via All Digital strorys ๐ŸŒŽ by @shabbatune
12
5 days ago
Download
KATAVI ROYAL NIGHT OF KINGS 2026 ๐Ÿ‘‘

Katavi inajiandaa kwa usiku wa kifalme

Tarehe 17 Oktoba 2026, Garden Park Hotel Katavi itakuwa sehemu ya burudani, muziki na heshima ya kifalme kupitia KATAVI ROYAL NIGHT OF KINGS.

๐ŸŽถ Wasanii watakaopamba usiku huo ni pamoja na @barakatheprince1  @bobjuniortz  @mzee_wa_fimbo @MRB Professor  @chimo_grand  @nisher_frama na @country__dancers pamoja @chafu.zone.music
@daddybablony @enock4real @oxnzusi @ma_mdhungu

๐Ÿ“ MAHALI: Garden Park Hotel
๐Ÿ“… TAREHE: 17/10/2026
๐Ÿ•• MUDA: Saa 6:00 PM โ€“ 8:00 PM

๐ŸŽŸ๏ธ BEI ZA TIKETI

Regular: TSh 10,000

VIP: TSh 30,000

Gold: TSh 100,000

 Katavi, jiandae kwa usiku wa kukumbukwa!

๐Ÿ“บ ZONE MEDIA 5 โ€” BURUDANI KIGANJANI
Tunakujuza, tunakuunganisha na burudani

#ZoneMedia5 #KataviRoyalNightOfKings #Katavi #Mpanda #BurudaniKiganjani RoyalNight2026 by @shabbatune
6
8 days ago
Download
#MSHOBOZIโœˆ๏ธ๐ŸŒŽ 

๐Ÿ“ธ @director_elly by @shabbatune
20
14 days ago
Download
๐Ÿ”ฅKARIBU #RUKWA KARIBU #SUMBAWANGA โœˆ๏ธโœˆ๏ธ๐ŸŒŽ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 

#Tanzania_ni_Yetu_Sote_Tushikamane_Kwapamoja_Kuleta_Maendeleo by @shabbatune
13
15 days ago
Download
Real love to everybody still ridin' with my music fr ๐Ÿ™โค๏ธ

I just dropped my NEW single "MSHOBOZI" Feat @seeway4bad ๐Ÿ”ฅ
Out NOW on ALL platforms - Spotify, Apple Music, YouTube, everywhere.

I need y'all to run it UP - Like, Share, Comment, do the most!
Y'all support been keepin' me alive, for real.

Link in bio ๐Ÿ‘† Let's go!

#Mshobozi #Shabbatune #OutNow #NewMusic by @shabbatune
28
17 days ago
Download
TUMEMTEMBELEA MTU MAKINI - OBBY MJUZI โค๏ธ๐Ÿ™

Tulipata muda wa kukutana na kumpa pole mwanaharakati mwenzetu, mwalimu na kioo cha jamii @obbymjuzi .

Tunamshukuru Mungu, anaendelea vizuri na tuna matumaini makubwa. Mungu ni mkubwa ametuvusha kwenye mengi magumu yasiyoelezeka na kwa uwezo wake tunaamini soon @obbymjuzi anarudi tena kwenye majukumu yake ya kazi ya kuigusa jamii na kusapoti vipaji kama kawaida yake.

@obbymjuzi ni mfano wa kuigwa, aliyetuwakilisha vyema wana Sumbawanga hadi kuchukua Tuzo ya Somo la Biashara Tanzania nzima. Ni MTU MAKINI kweli.

Tulimtembelea kama familia: #Shabbatune, @batony_a16 na @decidedominator .

Upendo ndio kila kitu. Tunakupenda sana kaka yetu, Mungu akusimamie. ๐Ÿ™

#MtuMakini #ObbyMjuzi #Upendo by @shabbatune
21
a month ago
Download
#masimba ๐Ÿฆ DC: @war_boys9.2 just enjoying the sound with our steps๐Ÿซต๐Ÿ”œ๐Ÿ”œ

๐ŸŽ™๏ธ @punch_m.i.a @therevolution255 
Prod: @shabbatune @manuelysi @vintagemusic_world 

#viral #explore #trending #reelsinstagram m taken in Tanzania by @shabbatune
25
a month ago
Download
Dana Dana za @therevolution255 kuelekea 
tarehe 17/10/2026
 #katavi_royal_night_of_kings 
Cc @vintagemusic_world @macheshafm by @shabbatune
11
a month ago
Download
#MASIMBA CHALLANGE by @shabbatune
2
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up