Instagram story viewer> @simk_digital_hubs> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Swipe Left <<< Ujifunze makosa ambayo wafanya biashara wengi hufanya wanapoandaa video kwa ajili ya kusponsor

For Booking 
WhatsaApp/Call 0675899838

Dodoma, Tanzania. by @simk_digital_hubs
0
3 months ago
Download
Ili kufanya Booking Gusa link iliyo kwa Bio yetu na inayopatikana kwenye video hii au unaweza Comment Neno "Nahitaji Session " tutakutumia utaratibu namna ya kufanya Booking 

Slot Zipo Chache hakikisha umefanya booking Mapema

Be a winner not a witness
Call/WhatsApp 0675899838 

 #tanzaniadigital #simkdigital #sponsored #digitalmarketing #dodoma by @simk_digital_hubs
0
2 months ago
Download
Kila mfanya biashara anayefanya sponsored Ads kupitia Meta ananunua Wateja. Hivyo ni lazima ujue kuhusu Meta Bidding ili kupata wateja watakaohitaji huduma aa bidhaa yako kwa wingi....Swipe <<<< Kujifunza zaidi

CALL/WHATSAPP 0675899838 ( For Booking Only ) by @simk_digital_hubs
2
3 months ago
Download
Wateja Hawakumbuki Ulichowaambia au kuwauzia. Hukumbuka Ulivyowafanya Wajisikie baada ya kuwahudumia.

Biashara nyingi huwekeza muda mwingi kuboresha bidhaa na kuongeza mauzo kitu ambacho sio kitu kibaya kabisa....

Lakini wengi husahau kitu kimoja kinachowafanya wateja warudi tena.

Customer Experience.

Mteja hawezi kukumbuka kila maelezo ya bidhaa yako

Lakini atakumbuka jinsi alivyopokelewa....

Atakumbuka jinsi ulivyomjibu...

Atakumbuka kama uliheshimu muda wake...

Atakumbuka kama ulimtatulia tatizo lake kwa weledi......

Na zaidi ya yote, atakumbuka jinsi alivyojihisi na kujisikia baada ya kufanya biashara na wewe.

Biashara nyingi hupoteza wateja si kwa sababu zina bidhaa mbaya...

Bali ni kwa sababu zinatoa uzoefu kwa mteja ambao hauwafanyi wateja watake kurudi tena

Kumbuka, bidhaa nzuri inaweza kukuletea mauzo mazuri ya kwanza...hapa biashara huwa inanoga sana. Kwa sababu wengi wanakuwa ni wateja wako bado hawana uzoefu na wewe

Lakini baada ya hapo Customer Experience ndiyo itakayoleta mauzo ya pili, ya tatu,..... na kuwafanya wateja wakupendekeze na wakutaje kwa wengine.

Usijiulize tu...

"Nimemuuzia nini mteja?"

Jiulize pia...

"Nimemuacha na hisia gani baada ya kufanya biashara na mimi ?"

Kwa sababu mwisho wa siku, biashara zinazokua kwa kasi si zile zinazouza zaidi.....

Bali Ni zile zinazounda uzoefu ambao wateja hawausahau...na watatamani  kuupata Kila siku uzoefu huo

Je, ni bidhaa ipi au huduma ambayo uliwahi kuipata na badae ukarudi tena  kununua si kwa sababu ya bidhaa yake ni ya kipekee, bali kwa sababu ilikupa Customer Experience ya kipekee? 

Tuambie kwenye comments. by @simk_digital_hubs
0
4 days ago
Download
Maandalizi mazuri ya Tangazo lako ( Video au Picha Utakayoitumia ) ndiyo Msingi wa kwanza kabisa wa matokeo mazuri ya Tangazo lako kabla hata hujawaza kuweka budget

For Booking / Appointment Only 
Call 0675899838 

#simkdigital #sponsored #dodoma #contentcreator by @simk_digital_hubs
2
23 days ago
Download
For Appointment Only
Call/WhatsApp 0675899838 

#simkdigital #sponsored #dodoma by @simk_digital_hubs
0
a month ago
Download
Usipost kwa Mihemko au Unapojisikia tu Kupost lazima Uwe na Mkakati maalum wa Kupost Maudhui yako na hiki ndicho tunachokifanya new our new client kuhakikisha anameet target by @simk_digital_hubs
0
2 months ago
Download
Licha ya kufanya ads, kununua followers na mengineyo mengi bado wateja hawana imani na  brand yako shida inaanzia kwenye Page yako.....SWIPE <<<<< usome Mpaka mwisho Nimekuelezea kila kitu unachotakiwa ufanye.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#digital
#socialmediaagency 
#brandidentity 
#marketingdigital taken in Dodoma, Tanzania by @simk_digital_hubs
4
2 months ago
Download
Tunawatakia kheri ya Eid al - Adha 🕌 ☪️ 

We Do >>>
Sponsored  Ads
Social Media managenent
Branding & Marketing Strategy
.
.
.
.
.
.
Call/Whatsapp 0675899838 by @simk_digital_hubs
0
2 months ago
Download
Be a winner! Not a witness hakikisha mfanya biashara unauza, wekeza nguvu kwenye adcareative  asilimia 75 ya matokeo unayopata ni adcreative yako ipoje ?

0675899838 simkdigital hubs by @simk_digital_hubs
0
2 months ago
Download
Tutakusaidia kuongeza mauzo yako Mara 3 zaidi, na kupata wanunuaji wa huduma au bidhaa yako kwa matangazo ya meta ads.

Call/WhatsApp 0675899838 taken in Dodoma, Tanzania by @simk_digital_hubs
0
3 months ago
Download
Kama unahitaji kuongeza mauzo na kupata wateja wengi kupitia meta ads ( Facebook, Instagram na WhatsApp ) wasiiana nasi sasa hivi

Cal/WhatsApp 0675899838
#Merge Your Vision With Digital Perfection by @simk_digital_hubs
0
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up