Instagram story viewer> @skeretz__> Posts
1.1K
followers
2221
following
🎮 Gamer | 🕶️ Fashion Enthusiast
✨ Your daily dose of style & inspiration
📍 Dar es Salaam
⚡️ Organized living
POSTS STORIES REELS TAGGED
Nimewahi kumzika rafiki yangu, kisha week mbili mbele shemeji yangu akapost kufurahia miaka miwili na mpenzi mwengine.Nishawahi kuona mwanamme akilipia kodi, nyumba ambayo mbele alikuja kugundua ni ya mke wake.Nishaona girlfriend akiachwa gheto, mwanaume akiaga anaenda mkoani kikazi, kisha zikavuja picha anaoa mwanamke mwingine.Huku mwanamke anafua nguo za jamaa, kule mwanaume ana chaguo lengine.Nimemuona mwanamke akimwambia mwanaume wake leo atalala mapema amechoka sana..
Kisha baada ya kukata simu, akakumbatiwa na mwanaume mwingine.Nimemuona mwanamke aliyepata ukimwi kwenye loyal and
trusted relationship.Nimeona mtoto mwenye baba wanne na vyeti vinne tofauti vya kuzaliwa. Kila jamaa kaaminishwa ni mwanae.Nimemuona mchepuko akimshatakia Mungu kwa kusalitiwa na mume wa mtu.Nimeiona happy couple mtandaoni, kwenye lodge mbili tofauti na watu tofauti.. taken in Kibiti, Pwani, Tanzania by @skeretz__
0
4 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up