Instagram story viewer> @strangertz_> Posts
76
posts
11.5K
followers
1241
following
C.E.O @strangers_restaurant
media personnel
entrepreneur/creator
utopian 🌍 🇹🇿💪🏽
No.1 fan of @kmcfc_official
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
this is Zanzibar 🏝️... 🇹🇿Tanzania ..!!!😊:🎞️created by ME @strangertz_#zanzibar🇹🇿 by @strangertz_
22
2 years ago
Download
Dar es salaam city 🇹🇿....mixed up hot different views🔥:🎞️ created by ME @strangertz_📷 videographers👇🏽@sakina_abdoul + @keeganjchecks + @sayeed_ksd.....................................@gersonmsigwa @wizarayamaliasilinautalii by @strangertz_
21
2 years ago
Download
angalia Kiswahili kilivyotumika kwenye movie ya MUFASA THE LION KING iliyoandaliwa na kampuni kubwa sana ya kutengeneza na kusambaza movie @disneyplus @disney .🔥🔥🇹🇿 hii inadhihirisha kwamba Kiswahili ndio lugha namba moja Africa na kinazidi kupenya mpaka kwenye nchi nyingi sana kutoka ulaya na mabara mengine.....kazi nzuri sana kwa mtanzania ambaye pia amehusika kutengeneza movie hii @kakamussa 💪🏽🙌🏾🔥🔥well done brother!!.... : 🎞️ Created by ME@mwigulunchemba @gersonmsigwa @wizarayamaliasilinautalii @lionking by @strangertz_
26
a year ago
Download
Miaka mitatu iliyopita Tanzania na klabu ya Simba ziliandika historia katika mchezo wa soka baada ya kushuhudia Mashindano makubwa ya vilabu ya African Football League(AFL), yalizinduliwa rasmi na Rais wa FIFA Gianni Infantino ambapo Simba sc ilicheza na Al Ahly ya nchini Misri katika dimba la Benjamin Mkapa#yangasc #simbasc #usa🇺🇸 #messi #kariakoo by @strangertz_
10
2 days ago
Download
Angalia details za muundo wa mfano wa kombe letu la ligi kuu ya TANZANIA🇹🇿 bara ambao naupendekeza kwa mamlaka husika. Itapendeza sana kama likitumika. Litakua kombe la kipekee hakuna kama hili duniani kote maana details zote ni maliasili zetu ambazo zinapatikana TANZANIA🇹🇿...sio lazima kuweka hayo madini kweli hapana wanaweza kuweka hata rangi au mfano wa hayo madini ili kuleta tu maana ambayo tunataka kuonyesha kupitia kombe hili@tanfootball mwanafa@wallacekaria @karim_boimanda @nbc_tanzania @ligikuu @wizara_sanaatz @wizarayamaliasilinautalii @azamtvtz @azamtvsports @efmtanzania @tvetanzania@crownfmtz @crowntvtz@wasafifm @wasafitv@jemedarisaid#tanzaniasafari #tanzaniaunforgettable #tanzania #tanzanitejewellery #visittanzania by @strangertz_
12
9 days ago
Download
Muonekano wa Kwala Marshalling Yard for SGR iliyopo kibaha mkoa wa pwani TANZANIA🇹🇿 mahali pia ilipo karakana ya treni za SGR. si tunasonga mbele tu🇹🇿Proud to be TANZANIAN🇹🇿#tanzaniasafari #tanzaniaunforgettable #TANZA#train #railway #tzrailways #treniyatanzania #TRC #viral #tanzania by @strangertz_
109
11 days ago
Download
Nimetengeneza mfano wa kombe la ligi kuu yetu ya soka ya Tanzania bara ambalo napendekeza kwa mamlaka lingetumika kama kombe letu rasmi maana limebeba viwakilishi vyenye alama kubwa na rasilimali za nchi yetu...kombe hili limeundwa na MLIMA KILIMANJARO, MADINI YA TANZANITE, PEMBE ZA NDOVU, TWIGA NA DHAHABU hivi ni miuongoni mwa viwakilishi kutoka kwenye nchi yetu vyenye upekee mkubwa.. sio lazima uweke hayo madini kweli hapana unaweza kuweka hata rangi tu au mfano wa hayo madini ili kuleta maana ya kombe ...nawaomba wizara ya @wizara_sanaatz na @tanfootball mpokee pendekezo langu hakuna kombe kama hili duniani kote @ligikuu @wizara_ya_madini_tanzania @nbc_tanzania @wizarayamaliasilinautalii @mountkilimanjaro @serengeti_national_park by @strangertz_
14
21 days ago
Download
Hii ni hifadhi ya msitu na vilima vya Pugu TANZANIA🇹🇿.....ni nzuri sana🔥TANZANIA YANGU🇹🇿❤️@wizarayamaliasilinautalii#pugu #tanzania #tanzaniaunforgettable #wizarayautaliinamaliasili by @strangertz_
2
a month ago
Download
Naam haya ndio mambo niyapendayo....kinda wa kitanzania fundi wa mpira @barka_seif kaanza safari yake sasa rasmi na academy kubwa duniani ya @fcbmasia iliyotoa vipaji vingi sana vikubwa vya soka...DONE DEAL 🇹🇿TANZANIA MABEGANI🇹🇿🔥#tanzania #tanzaniaunforgettable #barcelona #lamasia by @strangertz_
1
2 months ago
Download
Hii ni lushoto TANZANIA🇹🇿❤️.....view kali juu ya mawingu kutoka lushoto.....hakuna nchi nzuri kama TANZANIA 🇹🇿🔥....leo tupo lushoto!📍🎥: @javalushoto 🎞️: created by me@wizarayamaliasilinautalii #tanzaniaunforgettable #tanzaniasafari #tanzania #lushoto by @strangertz_
1
2 months ago
Download
Mcheza masumbwi maarufu nchini marekani na dunia kwa ujumla TERENCE CRAWFORD anatarijia kuja Tanzania kama sehemu ya tour yake. Welcome brother🇹🇿 @tbudcrawford the champion👑...we are ready for you too!@wizarayamaliasilinautalii @tourism.tanzania @tanzania_unforgettable @wbcboxing #tanzania #usa #tanzaniasafari #tanzaniaunforgettable #boxing #wbcboxing #wbc #serengeti #serengeti_national_park #kilimanjaro #mountkilimanjaro by @strangertz_
6
2 months ago
Download
Welcome champion🇹🇿 @tbudcrawford .....TANZANIA THE PROMISED LAND👑@tanzania_unforgettable @serengeti_national_park @baba_keagan @gersonmsigwa @tourism.tanzania #tanzaniaunforgettable #tanzania #tanzaniasafari #tanzanitejewellery by @strangertz_
2
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up