Instagram story viewer> @studentconnect_tz> Posts
1616
posts
27.3K
followers
376
following
🎓 Connecting Students With Opportunities
🎤 Interviews | Education |Inspiration
🌍 School Programs & Study Tours
📺 Featured on TV & Digital Platform
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Maarifa bora ni kiu ya kila mzazi ili mwanae aweze kuyapata kwa ajili ya maisha yake ya siku za usoni. 

Unataka mwanao apate nini? na kama sio Madini yaliyojaa Maarifa ya kutosha ndani ya SKULI? Hapa mwanao atajijengea uwezo wa kujiamini na kukuza uwezo wa kufikiria mambo mbalimbali.

SKULI hapa ni Maarifa tu. by @studentconnect_tz
1
3 years ago
Download
Degree ni muhimu, lakini haitoshi peke yake. Ujuzi, kujituma na kujenga connection nzuri na watu vinaweza kufungua milango ambayo GPA peke yake haiwezi. Unakubaliana na hili? Je, wewe unaamini nini kina nafasi kubwa baada ya kuhitimu: Degree, GPA au Connection? Tuambie maoni yako kwenye comments! 
#CareerTips #Graduation #Success" by @studentconnect_tz
0
6 hours ago
Download
"Impact at Shalom Orphanage Centre, Kibaha! 📍✨

Celebration with a purpose! Nisajile Foundation inaadhimisha miaka 4 ya mabadiliko kwa kuleta tabasamu na upendo kwa watoto wa kituo cha Shalom Orphanage, Msangani.

#NisajileFoundation #CharityGala2026 #Kibaha #YouthEmpowerment #TransformingLives by @studentconnect_tz
0
7 hours ago
Download
Impact at Shalom Orphanage Centre, Kibaha

Celebration with a purpose! Nisajile Foundation inaadhimisha miaka 4 ya mabadiliko kwa kuleta tabasamu na upendo kwa watoto wa kituo cha Shalom Orphanage, Msangani.

#NisajileFoundation #CharityGala2026 #Kibaha #YouthEmpowerment #TransformingLives by @studentconnect_tz
0
8 hours ago
Download
"Impact at Shalom Orphanage Centre, Kibaha

Celebration with a purpose! Nisajile Foundation iliadhimisha miaka 4 ya mabadiliko kwa kuleta tabasamu na upendo kwa watoto wa kituo cha Shalom Orphanage, Msangani.

#NisajileFoundation #CharityGala2026 #Kibaha #YouthEmpowerment #TransformingLives by @studentconnect_tz
0
8 hours ago
Download
Impact at Shalom Orphanage Centre, Kibaha

#NisajileFoundation #CharityGala2026 #Kibaha #YouthEmpowerment #TransformingLives by @studentconnect_tz
4
8 hours ago
Download
Miaka 4 ya kuweka tabasamu, kubadilisha maisha, na kutoa matumaini kwa vijana wetu.

Matukio kama haya yanatukumbusha kuwa mabadiliko ya kweli yanaanza pale tunapoamua kutoa kwa upendo. Hongera sana @NisajileFoundation kwa kuendelea kuwa mwanga kwa jamii

📸 Hapa kuna picha za matukio mbalimbali kutoka kwenye 4th Anniversary Charity Gala.

#NisajileFoundation #TransformingLives #YouthEmpowerment #CharityGala #4YearsOfImpact by @studentconnect_tz
3
10 hours ago
Download
Je, chuo kinakupa digrii tu... au kinakujenga kuwa mtu bora?
#finalistparty #UniversityTz #UniversityLife #studentconnecttz #fromclassroomtocareer by @studentconnect_tz
1
13 hours ago
Download
Wengi huona matokeo, lakini hawajui mapambano yaliyotangulia. Kuamka usiku kusoma kwenye baridi hakukuwa rahisi, lakini ndiko kulikobeba ndoto.  Je, wewe ni mtu wa kusoma usiku  au mchana ? Tuambie kwenye comments! 
#Motivation #CampusLife #SuccessJourney by @studentconnect_tz
6
18 hours ago
Download
Aibu mtaona nyie🔥🔥
Sisi ndo tushamaliza hivyoo🤣 by @studentconnect_tz
23
a day ago
Download
Ukifika chuo achana na peer pressure.
#UniversityLife #studentconnecttz #fromclassroomtocareer by @studentconnect_tz
0
a day ago
Download
Kidato Cha sita mnaokuja kusoma Dar, muje kwa kujishikilia na mfuate kilichowaleta ✍️
#UniversityLife #StudentLife #fromclassroomtocareer by @studentconnect_tz
2
a day ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up