Instagram story viewer> @__masanja> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kila nikikutana na wazee kwenye harusi wananiambia bado wewe, na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutana msibani😂😂😂😂
22
Ukikosa akili kuwa na Aibu
24
Unayoyafanya
Ukifanyiwa
Usikasirike!!📸
26
Ahsante mama kwa kunileta dunia bila wewe kwa malezi yako bora nisingefika hapa nilipo sina cha kukulipa mama angu Ilove you Mommy 🤍🤍🤍♥️♥️♥️Happy Birthday to me
106
Mtu unamwmbia una hela ananuna sasa unanuna nini Mbona wewe huna😀
72
Mr Clean Heart🤍🤍🤍
15
Hata waliokufa leo waliamini kifo chao kiko mbali, usiache kushukuru kila leo yako 🎯🙏
46
Tafuta Hela Juma Pili Sio Siku Ya Kufua Mr Clean Heart 🤍🤍🤍
32
back to up