Instagram story viewer> @_negra_024> Tagged
1.6K
followers
920
following
@_negra_024 Attitude louder than my
outfit😎"
" style speaks, but my
silence screams louder ".
POSTS STORIES REELS TAGGED
❤️🕊️ LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU NA MAFUNZO KWA WINGS OF HOPE!
Leo tumefanikiwa kufanya Charity Event katika Shule ya Msingi Emaoi, tukilenga kuwafikia watoto wenye mahitaji maalumu na kuwa sehemu ya kuleta matumaini katika maisha yao. 💙
Zaidi ya kutoa msaada, tumepata nafasi ya kujifunza mengi, kusikiliza na kukusanya hadithi za wenyeji wetu. Hadithi ambazo tunatarajia kuzisimulia kwa lengo la kutafuta wadau na suluhisho sahihi zitakazosaidia kubadilisha majonzi kuwa tabasamu na changamoto kuwa matumaini. 🥹❤️
Tunatoa shukrani za dhati kwa viongozi, wanachama, wadau na kila mmoja aliyejitolea kufanikisha siku hii. Mchango wenu ni ushahidi kwamba umoja na upendo vina nguvu ya kubadilisha maisha.
Safari bado ni ndefu, hivyo tuendelee kushikamana, kushirikiana na kujitoa kwa ajili ya jamii zetu. Tusisubiri kuwa na vingi ili kusaidia; tuanze na tulicho nacho, kwa sababu hata hatua ndogo inaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa katika maisha ya mtu mwingine. 🤝💙
WINGS OF HOPE — KUUNGANISHA MIOYO, KUBADILISHA MUSTAKABALI. 🕊️
#WingsOfHope #CharityEvent #Emaoi #TujengeMatumaini #UnitingHeartsChangingFutures
85
back to up