Instagram story viewer> @_shoki___> Tagged
4.1K
followers
5886
following
Be careful with what you wish for. I’ve got a lot of scars on my back
POSTS STORIES REELS TAGGED
Tarehe 23.04.2023 nilipata wasaa wa kushiriki chakula cha mchana pamoja na watoto wa kituo cha mayatima @upendofoundationandchildlight kilichopo mkoani Kilimanjaro.❤️

//

Lengo lilikuwa ni kusherekea sikukuu ya Eid pili pamoja na watoto hawa Sambamba na kuwapatia faraja.🤍

//

Niwashukuru waandaaji wa project hii @youthcharity_ sambamba na washiriki wake.
#eidwithchildrens #maishayetunisadaka 🙏
17
back to up