Instagram story viewer> @ac_the.swagger> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Chunya sio tu eneo lenye historia kubwa ya dhahabu bali ni sehemu ambayo kizazi kipya kinapaswa kujifunza, kuunganishwa na kujenga nafasi yake kwenye sekta ya madini.

Leo tumepata nafasi ya kukutana na RMO Chunya, Eng. Mayala, tukizungumza kuhusu leseni, sheria, uendeshaji wa shughuli za madini na namna vijana wanavyoweza kuingia kwenye sekta hii kwa uelewa sahihi.

Shukrani sana kwa ukarimu, muda na utayari wa kushirikisha maarifa. 🤝🏾

Tunapofungua milango kati ya taasisi, wataalamu na vijana, tunajenga sekta yenye taarifa zaidi, uwajibikaji zaidi na fursa zaidi.

Knowledge. Connection. Opportunity.
Depth never lies. 💎⛏️
17
back to up