Instagram story viewer> @bint.idrisa> Tagged
815
followers
1008
following
team
@fcbarcelona
#@simbasctanzania
@twitter zumrah idrissa
🌹🦁🦁🦁🦁 ALLAH YALAM 🇹🇿
POSTS STORIES REELS TAGGED
Tumefanikiwa kumpata binti mwenye ulemavu wa mguu kutoka shule ya msingi Ostebay iliyopo Mkoa wa Manyara, wilaya ya Babati mjini.

Kwa pamoja tunaweza kutimiza ndoto za Winfrida, tuandike historia yake mpya ya maisha.
Sababu kila hatua anayopiga leo, inaweza kuwa mwanzo wa kesho yenye matumaini makubwa.

@gwajimad @_.niffer._ @davidmulokozi @mdmotivator @joshlilj

Tutembee pamoja na Winfrida Shija.
🇹🇿 
#who #unicef #protectchildren #tanzaniacharity #tembeapamojanawinfrida
53
back to up