Instagram story viewer> @bloomy_flower_point> Tagged
3.9K
followers
1170
following
Explore the beauty of flowers 💐🪴⚘️🌷
The quality flowers
POSTS STORIES REELS TAGGED
Ukitaka Anthurium King mzuri na mwenye afya, wenye uwezo wa kuotesha watoto na kuongeza familia ya maua nyumbani kwako, hakikisha umetembelea pale @bloomy_flower_point 🌿✨
​Njoo ujipatie King wako mwenye uwezo wa kuzalishwa na kupendezesha mazingira yako.
16
Kwa dar es salaam bora tu uwe na anthurium king zako na bromeliads za kutosha maji kidogo! No dawa! No mbolea! Unatunza bustani bila mawazo.
12
KWA mua  haya muone @bloomy_flower_point  akupatie vitu 🔥🔥🔥 na kwa chungu call 0656766148
25
Video jinsi ya kutunza na kuzalisha Anthurium hookeri(king) kutoka kwa @bloomy_flower_point ipo kwenye YouTube channel yangu @ Aggie and plants…..please don’t forget to subscribe 🙏🏿#gardentour #plantfluencers #plantsmakemehappy
14
back to up