Instagram story viewer> @charming_byser> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Ammi جان🫀
@mr_malik619 

.
.
.
.
.
.
#explorepage #fyp #viralreels #foryou #ammijaan 🫀
18
Man of My Dreams❤️💕💁…. 

NB: I love Him Msinishauriiii 🧐 📌
103
I SAID YESSSSS! 💍😭❤️ To my best friend, my love, my answered prayer… YES to forever with you. 😭🤍 And just like that… I became someone’s Fiancee . 🙈💍❤️ The promise we made, the journey we walked, and the love that brought us here. ALHAMDULLAH 🙏🥹🤍
361
THE BEGINNING OF FOREVER… 🤍🥹💍

Kuna moments ambazo hata ukijaribu kuzielezea kwa maneno, bado maneno yanakuwa machache. Hii ni moja ya moments hizo. 🥹❤️

Tangu mwaka 2016, nimekuwa na safari ndefu sana na ngumu na mwanaume wangu. Safari ambayo haikuwa rahisi kila siku… tulipitia mengi, tulisubiri, tulivumilia, tulijifunza, tulikua pamoja na licha ya kila kitu, bado tuliendelea kuchaguana. ❤️Nimeangalia hii video mara nyingi na kila mara moyo wangu unaniambia, “Divah, you really made it.” 😭❤️
Na leo nimeelewa kwamba wakati mwingine Mungu anakufanya usubiri si kwa sababu amekunyima, bali kwa sababu anakuandalia moment ambayo itafanya kila kitu ulichowahi kupitia kiwe na maana. 🤲🏽❤️
Kwa kweli sina maneno ya kutosha ya kumshukuru Mungu kwa kutufikisha hapa. Alhamdulillah kwa kila hatua, kila subira, kila changamoto na kila furaha iliyotufikisha kwenye siku hii. 

From 2016… to this day.
The promise was made.
The promise was kept.
And today, I got to witness one of the most beautiful chapters of our love story. ❤️🥹

May Allah bless what we have, bless our families, bless our future and make what comes next even more beautiful than everything we have already experienced. NAKUPENDA SANA @charming_byser ❤️
262
back to up