Instagram story viewer> @chicolocotz> Tagged
52.6K
followers
463
following
Content creator
Dm for promotion 📥
Influencers & marketing
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mchaka mchaka wa maisha hauhitaji spidi pekee, unahitaji pumzi ya uvumilivu. Kuna muda barabara inakuwa ndefu, miguu inachoka, na kila mtu anakuona umechelewa… lakini kinachomata sio jinsi unavyoanza, ni jinsi unavyokataa kuishia njiani. 👣🔥

#Mchaka Mchaka ft @binowrld1 sio wimbo tu, ni shajara ya kila aliyewahi kuanguka akasimama tena, kila anayevuja jasho kimya kimya bila kupigiwa makofi, na kila anayepush mipaka mpaka mlango uliolock ufunguke 💪🏽
Kama unajua uchungu wa kupambana na matumaini ya kesho iliyo bora, huu wimbo ni wako.

▶️ Bonyeza link kwenye bio ka-stream sasa hivi. Nenda ukasikilize mstari kwa mstari, kisha niambie ni neno gani limegusa jeraha au ndoto yako. 🎧💯

#Mchakamchaka ft @binowrld1 produced by @alien_traxx OUT NOW ⚔️📢 
#mkmb #mchakamchaka
40
✨ iPhone 17 Pro Max Delivery Done! 📱

Another happy customer with the iPhone 17 Pro Max! 

🎁 FREE Offer Included:
✅ Premium Phone Cover
✅ Screen Protector
✅ Charger
✅ Data Transfer

📍 Barabara ya 6, Alaptel Plaza, Shop No. 35, Dodoma
📞 0712 210 418

Relax it’s iphone
24
back to up