Instagram story viewer> @directorblacktiger> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
YA MOTO 🔥🔥🔥🔥Kutoka AZNAS LINK - JIULIZE  @pmawenge NI MFANYAKAZI, Ambae amewakilisha mambo yote ambayo wafanyakazi wanayapitia nyumbani na ofisini, mtu unakutana na changamoto nyumbani na unakutana na changamoto ofisini, LAZIMA UCHAKAE MAPEMA

feat @azmamponda  @kalapina @onetheincredible  @pmawenge @darkmastereastzoo @juniorromantz @ima_qb na @rado.kiraka 

UJUMBE :
Kwenye kila kinachoendelea kwenye MAISHA yetu ya kila siku, tuna mengi ya kujiuliza, WHY HIVI, why vile? BUT MWISHO wa siku tunapaswa kukumbuka kuwa sisi ndio tumeshika HATMA YA MAISHA YETU, Na tunaweza kuamua tunachota kitokee,

NB:
 VIDEO IKO YOU TUBE, Bonyeza link hapo 👇👇👇👇
https://youtu.be/uh4nsadcSMk?si=24BJsAvbG_IrS1Mk
 kutazama video hii, HAKIKISHA una acha  COMMENT Yako, SUBSCRIBE na Ku SHARE NA NDUGU, JAMAA na Marafiki TUNAPASWA KUKUMBUSHANA KILA SIKU, HAKUNA MKAMILIFU….

Produced by : @mandvdg
Directed by : @kento_dz
Label : @aznas_music

Powered by @aznas_printing
@suti_fashion 
@aznas_music
@aznas_media 
@aznas_awards 
#AZNASLINK2026
#AznasAfricaHipHopAwards
10
ATTENTION ‼️‼️🚨🚨🚨
 Wewe Ni Nani? 
@Rascosembo ft @dogodeedangertz
Ubunifu kama huu ndio unaokosekana kwenye industry  kwa sasa, ninaamini wimbo huu wangetoa wasanii wao, wangepambwa sana, Any way wadogo zangu pigeni kazi hii gemu sasa hivi iko wazi sana sukumeni kwenye social media, watu wanaona na wanazingatia.. 
  Officially OUT NOW
 👇🏿👇🏿👇🏿
https://youtu.be/Zp8j01oYqBY?si=L-E_uoSE_MRhj-m8

Directed by @directorblacktiger

KINDLY SHARE,LIKE AND COMMENTS 🙏🏿
26
MOvie Is Out Now 🔥🔥

#WeweNiNani? 

 @rascosembo ft @dogodeedangertz 
Directed By @directorblacktiger

Link on my bio
27
back to up