Instagram story viewer> @dwightdanda> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Hongera Sana Kijana mwenzetu kwa ubunifu huu wa kuja na hii App ya @explorelarosa Hakika nilichojifunza kupitia hii App ni kuwa utakuwa sio mtandao tu wa kuagiza Bidhaa pekee Bali unaweza kukurahisishia kupunguza hasira wakati umeagiza bidhaa online kupitia hii App yani wakati unasubiria maybe chakula mda ule ambao sehemu nyengine ukiagiza unatulia tu hii App inakurahisishia wakati upo online kwenye App unasikiliza Mziki taratibu au unacheza game pia itaenda kututengeneza connection na watu tofauti tofauti 

Karibuni sana kwenye hii App kwenye hii familia ya @explorelarosa 🙏🤝🤝 sauti ikapotea hapo hapo 🤣🤣
47
back to up