Instagram story viewer> @elarion_pixel> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Jeeeeee! Umeshasikiliza wimbo wa HONGERA?😇
Kama bado kimbia mjini youtube ukasikilize ,like and subscribe account.
Kama tayari kasikilize tena ili uendelee kubarikiwa❤️
Link ipo kwa bio..
Mimi na ndugu zangu tumeshasikiliza,wamesema bado nguo za harusi tuu😂😂 wimbo tayari.
Saa sijui tayari wana wenza😂🏃‍♀️‍➡️
12
Yesu leo sina mengi, Nashukuru tu🙌🏾❤️
12
Yohana 16:33 (SUV)
“Hayo nimewaambieni ili mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.” ❤️

John 16:33 (NIV)
“I have told you these things, so that in me you may have peace. In this world you will have trouble. But take heart! I have overcome the world.” 

HAPPY NEW MONTH OVERCOMER❤️
YESU ANAKUPENDA🫂❤️

📸by @actrosmedia slide 1-4 and @elarion_pixel slide 5,6&7🥂
62
G.R.A.C.E❤️✝️

📸: @elarion_pixel 😍
11
Wagalatia 2:20
Nimesulibiwa pamoja na Kristo lakini ni hai wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu na uhai nilio nao sasa katika mwili, ninao katika imani ya Mwana wa Mungu, ambaye alinipenda, akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu. 

Galatians 2:20 (KJV):

“I am crucified with Christ: nevertheless I live; yet not I, but Christ liveth in me: and the life which I now live in the flesh I live by the faith of the Son of God, who loved me, and gave himself for me.”💪

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU❤️🫶
YESU ANAKUPENDA SANA PIA🥂❤️

📸 by @elarion_pixel 🥂
47
SHALOM MY FAMILY 
…… Leo nimesikia tu kufanya jambo hili na nikaona tufanye kwa pamoja… Mungu alinipa kufahamiana na huyu Unaemuona hapa kupitia tu mitandao ya kijamii,, na kupitia huduma yake pia… Ni mtumishi wa Mungu anaetumika na kwaya ya @neemagospelchoirtz Na Mungu alinipa kumfaham na mpaka now tumekua Marafiki Na ninamfurahia Yesu!! sana kumfaham @official_marymrefu 

Tangu nimemfaham najisikia kubarikiwa sana Na ninaona nimepata Rafiki bora kwenye maisha yangu🙌🙌

ziko sifa nilizoziona kwa mtumishi wa Mungu huyu @official_marymrefu 

1.Anampenda Yesu sanaa🙌🙌
2.Anapenda kumwabudu Mungu katika Roho na kwelii
3.Ni mtu mwenye furaha kila dakika
4.Ni mtu mnyenyekevu mnoo🙌🙌 
5.Ni mtu mwenye upendo sana
6.Alie makini sana na Yesu wake🙌

Rafiki zangu mi leo naomba,,,,, kwakua mtu huyu amekua Baraka kwetu leo naomba tufanye kitu kwake!…. @official_marymrefu 

naomba tumfollow huyu mtu mpaka shetani ashangae…..
na iyo yote ni kudhihirisha kuwa tunampenda na kumwombea sana katika huduma yake🙌🙌🙌

NINGEWEZA KUSEMA MENGI LAKINI MY MOM  @official_marymrefu WE LOVE YOU ❤️🙌🙌🙌🇹🇿
59
back to up