Instagram story viewer> @intelligencefxapp> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
market breakdown at the floor 📊

Hapa tunashare jinsi tunavyo-view market, tunachotazama, na namna tunavyopanga ku-manage different market conditions,

Kwa new traders, this is one of the best moments to get real experience ya ku-deal na technical analysis kwenye mazingira halisi, kusikia mitazamo tofauti, ku-challenge your own analysis na kuelewa kwa nini trader anaweza kuona kitu tofauti na mwingine,

Experience ya aina hii ni kwa ajili ya kukujenga ndani ya muda mfupi zaidi kuliko kujifunza theory pekee,

professional trading is not just about knowing what to look at, it’s about learning how to think, analyse and manage the market#
14
tuna very special physical event this week, 

baada ya mfululizo wa siku 45 za ku-share true financial market and money management skills, intense practical kupitia 2026/2027 Bootcamp & Mentorship, 

IntelligenceFx Team tunakutana na bootcamp members wetu kwa siku maalum ya kufahamiana zaidi, ku-share ideas, kujenga connections na ku-create opportunities za kushirikiana ndani na nje ya trading, 

hatutaki mahusiano yetu yaishie online tu, 

we want to build a real community, people who can connect, collaborate and grow together, 

na honestly, this is going to be one of the best days of the quarter, 

the best part?

bado unaweza kuwa sehemu ya hii experience kwa kujiunga na 2026/2027 Bootcamp & Mentorship, 

yes, physical sessions zinakaribia kuisha, lakini recordings za sessions zote zimehifadhiwa kwa quality ya juu sana na zinapatikana ndani ya IntelligenceFx App, 

na ukijiunga, hupati access ya bootcamp recording pekee,

unapata access ya:

• Foundation Course
• Advanced Technical Course
• Trading Psychology Training
• Prop Firm Masterclass
• 2026/2027 Bootcamp & Mentorship recordings
• Training mbalimbali tulizowahi kufanya
• Resources zote zinazopatikana ndani ya IntelligenceFx App

na currently unapata package hii kwa zaidi ya 80% discount

but here is the important part…

this is the last opportunity to join this bootcamp,

Soon this month tutafunga kabisa admission,

na kwa nature ya program hii, ukikosa nafasi hii, bootcamp nyingine inaweza kuchukua miaka kabla haijarudi,

Wasiliana nasi WhatsApp 0625554222,

if you’ve been waiting for the right time to join IntelligenceFx, this might be your last chance for a very long time 🔥
20
first week of a new quarter, happy new month traders, 

we’re entering the final quarter of the year, and honestly, this is a good time to pause and reflect, 

look at what worked, what didn’t, the mistakes you made, the lessons you learned, and most importantly, how you can do better this quarter, 

don’t feel pressured to force results, just focus on making better decisions, managing your risk and staying consistent, 

one good trade doesn’t make you a great trader, and one bad trade doesn’t make you a failure, 

keep learning, keep improving, keep showing up, 

let’s make this quarter a good one.
13
unatakiwa kufahamu mapema kwamba prop firms zimeundwa kwa mfumo ambao unaweza kufanya traders wengi wafeli

na ukijua tu hilo, utaelewa kwamba probabilities haziko automatically in your favor

lakini kujua hilo pekee hakutabadilisha matokeo yako

kitakachobadilisha matokeo ni wewe kuelewa the number side of trading, in and out

kabla hata hujanunua account, unatakiwa kujua kwa trading style yako:

 ⟹risk % yako ni ngapi
 ⟹winning rate yako ni ngapi
 ⟹risk to reward ratio yako ni ngapi
 ⟹profit factor yako ni ngapi
 ⟹expectancy yako ni ngapi
 ⟹Sharpe ratio yako iko kwenye kiwango gani
 ⟹maximum drawdown yako ni kiasi gani
na losing streak yako inaweza kufika trades ngapi

then jiulize:

kwa statistics zako, unahitaji average winning trades ngapi ili kufikia target ya prop firm?

na ili kupata hizo winning trades, kwa historical data yako, unahitaji kucheza series ya trades ngapi?

halafu take those numbers and match them against the prop firm’s:

profit target
daily loss limit
maximum drawdown
consistency rules
na rules nyingine zote zinazoweza kuathiri strategy yako

hapo ndipo unaanza kuona prop firm kwa perspective tofauti

sio suala la “nitapass challenge?”

ni suala la:

“kwa numbers zangu, strategy yangu ina probability gani ya ku-survive ndani ya rules hizi?”

because in prop trading, you don’t just need a good strategy,

you need a strategy whose numbers can survive the rules,

Traders wengi wanaishia kufeli challenge after challenge sababu hivi vitu vyote hawajavi systemize, 

Unapata hivi vitu vyote kwenye our prop firm masterclass kwenye bootcamp series, 

Download IntelligenceFx app - play-store au a AppStore then wasiliana nasi WhatsApp 0625554222 tukupe access, 

Welcome to professional side of trading.
20
Kipi ni bora kati ya:

kutafuta profitability kwenye prop firm account,

Vs

Kutafuta profitability kwenye personal account then kwenda kwenye prop firm account baadae?

Let’s share experience kwenye comment, 

Tuambie bora nini na kwa sababu gani
16
Mara ya mwisho ulivyojifunza kuhusu leverage uliambiwa kazi yake ni nini ....?? 

Na je unatumia leverage gani na kwa sababu gani ....? 

Unafahamu relation ya leverage na risk management ...?? 

Majibu ya maswali haya yapo kwenye session za kwanza kabisa za IFX 2026/27 bootcamp zinazopatikana kwenye @intelligencefxapp .
13
back to up