Instagram story viewer> @johflutist> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
HIYO LINI HIYO, HIYO LEO HIYOOO @yangz_taifa 🔥🔰🤩

Leo tumepata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya CFFA FC ya Madagascar, mechi ya kwanza raundi ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika🔰💪

Tukutane kwenye mchezo wa marudiano  tarehe 21/10/2026 kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi Muda saa 1:00 usiku⏱️..

Credit @johflutist 📸

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅
22
Stadium lights and good vibes 💛💚
36
VIBE LA VIJANA, KIZAZI CHA USHINDI @yangz_taifa 🔰🔥🤩

Hapo jana Uhuru Stadium ilikuwa ni GREEN & YELLOW VIBE tupu! 💚💛🔥

Si hata nyinyi Mmeona tofauti ya kati ya bonanza na WORLD CLASS TAMASHA LA MPIRA? 😎🌍🔥🙌..

wiki ya mwananchi ilifana kweli kweli🔰💪🙌..

Next, Zanzibar - Tanzania Community Shield (“Ngao ya Jamii”) 12/8/2026,  New Amaan Stadium Complex🏟️..

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅
26
YANG Z CHARITY & KARIAKOO DERBY 🔰🙏🏿

Kwa rehema na neema za Mwenyezi Mungu, uongozi wa tawi la Yang Z Taifa kwa kushirikiana na wanachama wake, jana tarehe 03/05/2026 tulipata fursa ya kutembelea kituo cha watoto yatima Tulee Yatima Tanzania (TUYATA) kilichopo Magomeni.

Tulipata wasaa wa kuwa pamoja na watoto hao, kushiriki nao upendo, faraja na matumaini, tukithibitisha kuwa jamii yetu bado ina moyo wa kusaidiana na kuthamini utu wa kila mmoja.

👉 Kutoa ni moyo, na kidogo chako kinaweza kuwa tumaini kubwa kwa mwingine.

Credit video / @youngzila & @johflutist 🎥🫡👊.

🔰💚💛 #YangZTaifa #Charity #KariakooDerby #TUYATA

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅
36
@johflutist ndani ya @kasrilakikeke 💥💥

Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya @crowntvtz @crownfmtz na sikiliza 92.1 Mhz au Redio Box/ Garden na kutufuatilia live YOUTUBE channel ya CROWN MEDIA

#CrownMedia #HapaNiNyumbani
16
@johflutist anaweka wazi kuwa amepiga Zumari pia kwenye wimbo wa #Rapa @youngkillermsodokii 

Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya @crowntvtz @crownfmtz na sikiliza 92.1 Mhz au Redio Box/ Garden na kutufuatilia live YOUTUBE channel ya CROWN MEDIA

#CrownMedia #HapaNiNyumbani
17
Haikuwa rahisi kwa @johflutist ilibidi ajifunze Matumizi ya kifaa hiki;

Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya @crowntvtz @crownfmtz na sikiliza 92.1 Mhz au Redio Box/ Garden na kutufuatilia live YOUTUBE channel ya CROWN MEDIA

#CrownMedia #HapaNiNyumbani
18
Buruda leo, tumeangazia sanaa ya upigaji wa Ala mbalimbali za muziki jinsi ambavyo umeibua ajira mpya na kuongeza kipato kwa vijana wengi kwasasa nchini na huyu ni @johflutist 🔥

Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya @crowntvtz @crownfmtz na sikiliza 92.1 Mhz au Redio Box/ Garden na kutufuatilia live YOUTUBE channel ya CROWN MEDIA

#CrownMedia #HapaNiNyumbani
28
back to up