Instagram story viewer> @letsimpactmillions> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Imagine kulipia program halafu baada ya ku-experience kile kinachotolewa, unaona value yake ni kubwa zaidi ya pesa uliyotoa

Hii ndiyo experience tunayotamani kila member wa IntelligenceFx aipate ❤️

Our mission is to impact millions.
13
Inawezekanaje upate mafanikio lakini ubaki humble? 🤔

Hili ni swali lililoulizwa kwenye bootcamp event yetu, na ukweli ni kwamba hili ni moja ya changamoto kubwa sana kwa vijana wengi wanapoanza kupata mafanikio, 

Wengi wanatamani kufanikiwa, lakini wachache wanajiandaa kubeba mafanikio bila kupoteza utu wao,

mafanikio yanapaswa kubadilisha maisha yako, sio kukufanya ujione bora kuliko wengine,

Unadhani ni nini kinamsaidia mtu kubaki humble hata baada ya kupata mafanikio makubwa?

PS: Leo saa moja jioni tutakuwa LIVE hapa Instagram ku-share ujuzi na experience za biashara na maisha, itakuwa session ya moto sana, zaidi ya masterclass 🔥
24
Ukipata nafasi ya kumuuliza swali moja mtu ambaye amefundishwa na mentor aliyekufundisha wewe, halafu akapata progress kubwa ndani ya muda mfupi, ungemuuliza swali gani? 👀

Sikiliza kwa makini swali alilouliza brother, then swipe kupata majibu ya Madam 🔥,

Kuna mengi ya kujifunza kupitia experience za wengine, hasa pale wanaposhare vitu vilivyowasaidia kufanya progress kubwa ndani ya muda mfupi,

Our mission is to impact millions ❤
23
Hakuna Forex course ya wiki mbili 

Tumekuwa tukiuziwa idea kwamba "nitajifunza forex wiki moja au mbili then nitaanza ku-make money" na matokeo yake wengi tunaua safari zetu wenyewe kwa expectations tulizojiwekea, tunakata tamaa mapema si kwa sababu hatuwezi bali kwa sababu tulitegemea matokeo ya haraka

Learning is a marathon, not a sprint 

Safari ya kujifunza forex inahitaji mastery, practice nyingi na kurudi kwenye materials tena na tena huku na kule mpaka uelewe mechanics za jinsi market inavyofanya kazi kweli, kila siku unajifunza kitu kipya na kila siku unakuwa better kidogo kuliko jana

Na hicho ndicho tunachofanya kila siku pale @intelligencefx tunajifunza, tunapractice na tunarudia pamoja

Welcome to the professional side of trading 🤝
35
ilikuwa furaha kubwa sana kwetu kusikia maneno mazito kutoka kwa our brother kutoka kwenye bootcamp program ❤️‍🔥

hakuna kitu kizuri kama kujitoa kwa moyo wako wote kufanya kitu unachokiamini, kuhakikisha unatoa value kwa kiwango cha juu kabisa, halafu wale unaowafanyia kazi hiyo wana-recognize na kuthamini impact yake

hii ndiyo motivation inayotufanya tuendelee kufanya zaidi, kuboresha zaidi na kuhakikisha kila mtu anayekuwa sehemu ya IntelligenceFx anapata value ya kweli

what did you love most about what our brother shared? tuambie kwenye comments 👇🏽

our mission is to impact millions 🌍
19
Hongera sana @nelsonbaregu kwa kufanikiwa kupita Phase One na Phase Two ya prop firm Evaluation 🔥🏆

Nelson ni mmoja wa members wetu ambao wameendelea kuonyesha juhudi, discipline na commitment kwenye safari yao ya trading, na leo tunafurahi kuona hatua nyingine kubwa aliyofikia,

Nelson alianza kujifunza Forex mwaka 2020, lakini tangu alipojiunga na IntelligenceFx mwaka 2024, amekuwa akiona tofauti kubwa kwenye uelewa wake wa market na namna anavyoifanya trading,

Nelson, kama ilivyo kwa members wetu wengine, tunakuahidi kwamba ukipata withdrawal yako ya kwanza, tutakununulia Prop Firm Account nyingine ambayo ni kubwa kuliko unayo-trade sasa for completely FREE 🔥🚀

Keep going brother, endelea kuheshimu risk management, kuwa consistent na kufuata trading plan yako, the goal is bigger than passing challenges, ni kujenga trader mwenye uwezo wa kufanya hivi consistently,

kila kitu kinawezekana ukiwa tayari kujifunza, kufanya kazi na kuwa consistent 📈🏆, 

Let’s experience professional side of trading.
10
back to up