Instagram story viewer> @maddohofficial> Tagged
18.2K
followers
324
following
East African Musician🇹🇿
Singer & Songwriter
🔥 New Single: #NAYACHUKIA OUT NOW
📩 Bookings: [email protected]
👇 Listen Now
POSTS STORIES REELS TAGGED
MSHIRIKI NAMBA 009 @maddohofficial ameingia jukwaani na kuimba wimbo “Raha” wa @marioo_tz ! Sasa ni zamu yako kuwa JAJI!  Kwa namna alivyo perform, unampa asilimia ngapi?  Ikumbukwe @maddohofficial anawakilisha kata ya MKONGO GULIONI iliyopo wilaya ya NAMTUMBO.

Wilaya ya Namtumbo chini ya uongozi wa @ngollomidalla , pamoja na Jimbo la Namtumbo chini ya ungozi wa Dkt. @juma_zuberi_homera kwa pamoja wanaendelea kuweka nguvu katika kutambua, kukuza na kuibua vipaji kupitia mashindano ya Namtumbo Golden Talent. 

Lengo si mashindano pekee, bali ni kujenga mazingira ambayo vipaji vinaweza kuwa fursa, ajira na chanzo cha uchumi kupitia sanaa. 

Kipaji chako ni dhahabu yetu wana wanamtumbo, Namtumbo inaamini katika vipaji. Namtumbo inawekeza katika vijana. Namtumbo inaendelea kuandika historia kupitia sanaa!

#TanzaniaEntertainment #TanzaniaMusic #SwahiliEntertainment #TanzaniaReels @masai_the_don_ @hamisynyoni48, @sifaelimwabuka, @maria__mapunda, @mwijaejafari, @ggmj_001, @hamis_kasapa, @sitefmradio, @ngonyanifadhil, @petromagoti, @ngonyansteven, @ngollomidalla, @og_kimwaga, @juma.nindi.90, @david3028747, @osmunda_c_gama, @jsangijo, @visit_namtumbo, @director_zwagger, @bunge.tanzania, @sadiki_mponyamili, @daniel_g_ngure, sitetvtz, @juma_zuberi_homera, @asumtamwingira6, @mbunge_jimbo_la_namtumbo, @mary2289983, @husseinkombahussein, @siraju.ramadhan.9, @mallyaevarist047, @shawagreyson, @iamrosemaryshani, @tumainiuhega, @mrs_homera_j_mamareens, @m_eddy45, @site_trust_foundation, @jordanshawa, @namtumbodc, @nangeroroyalhotel, @shuku_brand_namtumbo_mpya, @jamali_adam_, @uvccm_ruvuma, @simbertkayombo, @mndala_pixel_, @rs_ruvuma, @namtumbona, @issaprince84, @asumtamwingira35, @mukientertainment, @raufuramadhanindunguru, @oficial_checheleka_kp62, @brainstar_schools, @ashura.faraji, @dizz_bitz, @shaibu.majiwa, @mngonigirl, @davdjohnshawa, @coachhamisikanduru #BongoFlava
195
Baada ya safari ndefu ya kutafuta vipaji, kesho tunafungua ukurasa mpya!  Ni siku ya kutajwa kwa TOP 10 ya NAMTUMBO GOLDEN TALENT SEARCH!

Lakini kabla ya kesho… LEO NI SIKU YA MAZOEZI YA BAND! 🎶
Washiriki wanaweka kila kitu sawa, sauti zinaandaliwa, instruments zinapigwa na presha inaanza kupanda! 

Nani ataingia TOP 10?# Nani atasimama jukwaani?
Nani atathibitisha kuwa Namtumbo ina dhahabu?

KESHO… MAJINA 10 YATAANDIKWA. 
Usikose tukio hili! 
KIPAJI CHAKO, DHAHABU YETU. 💛

#NamtumboGoldenTalent #Top10 #Top10Announcement #KipajiChakoDhahabuYetu NamtumboKunaVipaji TalentSearch Entertainment @jokatemwegelo, @zainabkatimba, @victoria.mwanziva, @comrade_kelvin_charles, @kidoyayi, @tokazamanitv_tz, @kenanikihongosi, @masai_the_don_, @hamisynyoni48, @sifaelimwabuka, @maria__mapunda, @mwijaejafari, @ggmj_001, @hamis_kasapa, @sitefmradio, @ngonyanifadhil, @petromagoti, @ngonyansteven, @ngollomidalla, @og_kimwaga, @juma.nindi.90, @david3028747, @osmunda_c_gama, @jsangijo, @visit_namtumbo, @director_zwagger, @bunge.tanzania, @sadiki_mponyamili, daniel_g_ngure, sitetvtz, @juma_zuberi_homera, @asumtamwingira6, @mbunge_jimbo_la_namtumbo, @mary2289983, @husseinkombahussein, @siraju.ramadhan.9, @mallyaevarist047, @shawagreyson, @iamrosemaryshani, @tumainiuhega, @mrs_homera_j_mamareens, @m_eddy45, @site_trust_foundation, @jordanshawa, @namtumbodc, @nangeroroyalhotel, @shuku_brand_namtumbo_mpya, @jamali_adam_, @uvccm_ruvuma, @simbertkayombo, @mndala_pixel_, @rs_ruvuma, @namtumbona, @issaprince84, @asumtamwingira35, @mukientertainment, @raufuramadhanindunguru, @oficial_checheleka_kp62, @brainstar_schools, @ashura.faraji, @dizz_bitz, @shaibu.majiwa, @mngonigirl, @davdjohnshawa, @coachhamisikanduru @juma_zuberi_homera @ggmj_001 @mrs_homera_j_mamareens
50
back to up