Instagram story viewer> @makers_09> Tagged
462
followers
1372
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
FT’| #CAFCL 

CFFA 0πŸ†š4 Young Africans SC

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
27
NEXT STOP CAF CHAMPIONS LEAGUE!πŸŒπŸ”°πŸ’ͺ

kesho saa 9:00 alasiri tunakutana kwenye viunga vya azam complex, chamazi, kuishangilia timu yetu katika mchezo wa CAF champions league dhidi ya cffa!πŸ”₯

Mwananchi, kama bado hujakata tiketi yako, kata sasa na tuungane kuipa nguvu timu yetu pendwa @yangasc πŸ”°

NB: Hii tunaitaka, iwe mvua au iwe jua!πŸ₯Ά

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
19
YANGA NI ZAIDI YA MPIRA, NI UPENDO NA MATENDO KATIKA JAMII @yangasc πŸ”°πŸ˜‡πŸ™πŸΏ.

Japo jana hatukupata matokeo tuliyoyatarajia uwanjani, dhidi ya mtani wetu lakini Tawi la Yang Z taifa tulipata nafasi ya kugusa maisha na kuleta tabasamu kwa watoto wetu wa Nira Children – Zakiem. πŸ₯Ήβ€οΈ

Asanteni sana kwa viongozi na wanachama wote kwa kuguswa na kujitolea sadaka hii @yangz_taifa Mungu awabariki sanaπŸ”°πŸ™πŸΏ..

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
39
Wanachama wa tawi la Yang Z Taifa wakiwa katika furaha na shangwe baada ya ushindi wa mchezo wa jana dhidi ya Geita GoldπŸ”°πŸ”₯πŸ’ͺ

Mtargi unae mjua hapo katika picha kwenye comment..?😜

Credit @muvibe6 πŸ“ΈπŸ«‘πŸ‘Š.

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
19
Kikosi kazi dhidi ya Geita GoldπŸ”°πŸ’ͺ🏽

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
10
πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°πƒπ€π˜

πŸ†š Geita Gold
πŸ—“ 15 Septemba 2026
⏱️ Saa 01:00 Usiku
🏟 KMC Complex
πŸ† #nbcpremierleague

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
13
Kikosi kazi dhidi ya Gaborone UnitedπŸ”°πŸ’ͺ🏽

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
12
FT’| #CAFCL 

Gaborone United 1πŸ†š1 Young Africans SC 

#TimuYaWananchi
#daimambelenyumamwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
36
πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°DAY

πŸ†š Gaborone United 
πŸ—“ 05 Sept 2026 
⏱️ 7pmπŸ‡§πŸ‡Ό | 8pmπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
🏟Gaborone National Stadium 
πŸ† #totalenergiescafcl 

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
20
YANG Z TANZANITE TOUR ARUSHAπŸ”₯πŸ”°πŸ’ͺ🀩..

Hivi ndivyo tawi la Yang Z Taifa tulivyoingia Sheikh Amri Abeid kuipa suppoti klabu yetu pendwa @yangasc kwenye mchezo wetu wa jana dhidi ya Fountain gate πŸ”°πŸ’ͺ.

Point tatu na magoli mawili safi kituo kinachofata ni Botswana dhidi ya Gaborone united Ligi ya Mabingwa barani AfrikaπŸ”₯..

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
33
YANG Z TANZANITE TOUR IMEFANA @yangz_taifa 🍻🀩😜.

Ushindi βœ… bataπŸ»πŸ–πŸ”₯πŸ™Œ
aibu utaona wewe 😜
huruma sio malezi πŸ”°

Song/ @marioo_tz @harmonize_tz 🎢πŸ”₯

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa πŸ”°βœ…
134
back to up