Instagram story viewer> @maluteo_official> Tagged
1.3K
followers
2229
following
๐Ÿ” Real reviews โ€ข Great finds โ€ข Daily inspo
Building @ohoothinks
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kama umekuwa ukipambana na Polycystic Ovary Syndrome (PCOS), mzunguko wa hedhi usioeleweka, kuongezeka uzito bila sababu, au changamoto ya kupata ujauzito, suluhisho lako linaweza kuwa Myo-Inositol.

Tofauti na virutubisho vingine, Myo-Inositol ni โ€œSpecialโ€ kwa ajili ya PCOS. 

Haya ndiyo mambo inayofanya mwilini mwako:
โœ… Hudhibiti Insulini & Homoni: Inasaidia mwili wako kutumia insulini vizuri, jambo ambalo linashusha kiwango cha homoni za kiume (androgens) zinazosumbua wenye PCOS.
โœ… Huboresha Ovulation: Inasaidia mayai yako kukua na kupevuka vizuri tayari kwa urutubishaji.
โœ… Hurudisha Hedhi Sawa: Inasaidia mzunguko wako kueleweka.
โœ… Hupunguza Stress: Inasaidia kutuliza akili na kupunguza msongo wa mawazo.

๐Ÿ“Œ Jinsi ya Kutumia:
Dozi inayoshuriwa mara nyingi ni Gramu 2 mpaka 4 kwa siku. Ni vizuri kutumia kabla ya chakula.

โš ๏ธ Angalizo: Hii si dawa, ni kirutubisho. Wasiliana na daktari wako kabla ya kuanza matumizi, hasa kama uko kwenye matibabu mengine ya PCOS.

๐Ÿ’ฌ Unasumbuliwa na dalili za PCOS au unahitaji ushauri ?

Andika neno โ€œPCOSโ€ kwenye comments hapa chini ๐Ÿ‘‡ au tutumie ujumbe (DM) sasa hivi tuweze kukusaidia!

#myoinositol #pcos #PCOSTanzania #MvurugikoWaHomoni #AfyaYaUzazi
98
back to up