Instagram story viewer> @mazegeleboy_> Tagged
196.2K
followers
1020
following
CEO/FOUNDER @greengangtz
MASIHARA VIDEO👇
POSTS STORIES REELS TAGGED
😢😢😢😢😭 haya ni mateso atakama hatuna magari ndo utupandishe kwenye kigar hiki kwenye butii imetubid tu tukae na mikate nyumaa😢 tuombeeni tufike salama jaman🙏

@officialgodyanga tunashkuru kutupandisha kwenye mikate mimi na wenzangu😢 @baraka_yanga_tz @mazegeleboy_ @mzee_wa_njiwa
215
Ilikua siku nzuri sana kwenye match yetu wa kirafiki dhidi ya St George kutoka Ethiopia 🇪🇹 pale Tawi la yanga on fire @yanga_on_fire_ tulipo kutana na moja msanii wetu pendawa na mtunzi wa nyimbo zetu za yanga on fire sio mwingine ni mjomba @mazegeleboy_ 

Zaaa ndaniii kabsa @mazegeleboy_ anasema kuna ngoma ambayo ni Kali kuliko zote alizo toa tukae mkao wa kula cha kufanya nenda mwenye YouTube ▶️ ka subscribe Chanel yake. 
Cc
@mazegeleboy_ @mazegeleboy_ 
#yangaonfire🔥🔥🔥 
#motowakuoteambali🔥🔥🔥🔥 .
18
back to up