Instagram story viewer> @melanie__anthony> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
NICHUKUE NAFASI HII KUMSHUKURU MUNGU ALIETUSAIDIA KUFANIKISHA IBADA HII KUBWA HAIKUWA KWA UWEZO WETU WALA NGUVU ZETU WALA UJANJA WETU BALI NI NEEMA YAKE TU.

PIA NIWASHUKURU MUSICIANS WAKIONGOZWA NA @itselikorg @gloirebass_gb @amertypeter @minister_mpeli @drewchitete_1 @_officialhans @officialbenjamin_kaz na brother Gashon 

Pia marafiki zangu wamenipa sapoti kubwa sana 
@nehemiakabati @sam_clinton_tz @meshackmwakalenga @laurah_ludovick @chris_masunga @deporshy123 @catherinetelence 

Pia kwa ministers wote tuliohudumu pamoja ninawashukuru sana mmefanyika baraka sana ninawapenda sana na nawaheshimu sana na ni maombi yangu NEEMA YA MUNGU IZIDI SANA KWENYE HUDUMA ZENU @johny_kavishe 
@melanie_anthony__ @franc_jamrack 
@officialbellakombo @henrick_mruma @victor__maestro @charles_johnsonm @rose_kumenya @blessedhango @ministerpaulclement @zoravo 

PIA NAWASHUKURU SANA @haddypro_co_ltd kwa sapoti kubwa waliotupa Mungu awabariki sana mmekuwa baraka sana aisee 

Zaidi sana nawashukuru @spstudiotz wamekua baraka kubwa sana na wamefanikisha ibada hii kwa asilimia kubwa sana MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA NA AWAZIDISHE MARA DUFU 

Pia namshukuru sana kaka @alex_ngajilo kaka angu umekua baraka sana 

Pia nawashukuru watu wote mliofika siku ya ibada nyie ni watu wa thamani sana nawapenda sana na msiache kutusapoti

Kipekee sana my brother @official_paulbetese my family @thecatalystministriestz ❤️❤️❤️

#uwepowako 
#catalystliverecording 
#adullam 
#glorytokingjesus❤️
33
Stay tuned from Midnight worship team Niponye na mimi  by my brother big minister @josh_cleopa .

Pianist @eddutanui 
Drummer @collo_le_drummer 
CameraLady @300pure
24
It was an honour celebrating our big brother @ambwenemwasongwe_ ...Grateful to be a part of this amazing day🙌🤗
#20yearsanniversary❤️
52
back to up