Instagram story viewer> @noma_99j> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Wizara ya Michezo, Sanaa na Burudani MUSTSO 2026/2027, inapenda kumpongeza tena kwa dhati mwanafunzi Eva Rodgers Mremi kwa kutwaa tuzo ya Best Upcoming Actress katika TDFAA Awards, Mbeya.

Mafanikio haya ni ushahidi wa thamani ya vipaji vya wanafunzi wetu na umuhimu wa kuendelea kutengeneza mazingira yanayotambua, kuhamasisha na kukuza sanaa na ubunifu miongoni mwa vijana.

Kupitia Wizara yetu, tunaendelea kusimamia dhamira ya kutambua na kuendeleza vipaji vya wanafunzi, kuvipa nafasi ya kung’ara na kuhamasisha wengine kuthubutu na kufuata ndoto zao.

Eva, hongera sana kwa mafanikio haya. Tunakutakia mafanikio makubwa zaidi katika safari yako ya kisanaa. Endelea kung’ara na kuiwakilisha MUST kwa heshima.

Kipaji chako, fahari yetu.

#MUSTSO #MustTalentHub #TDFAAAwards #BestUpcomingActress #kipajichakofahariyetu
12
JINSI YA KUPATA TIKETI YAKO!

Je, unataka kuhudhuria Freshers Matema Tour? Usikose nafasi yako! Piga simu 0656896517 kwa maelekezo zaidi kuhusu upatikanaji wa tiketi na jinsi ya kuipata.

Usisubiri hadi dakika za mwisho, pata tiketi yako mapema!🔥
#TwenzetuMatemaBeach
#TumekujaKivingine
#HatuachiMtu
12
back to up