Instagram story viewer> @rahim_katimba> Tagged
1.3K
followers
1232
following
My self
POSTS STORIES REELS TAGGED
YANG Z GOLDEN ERA PARTY 💚💛🔥🤩

Uongozi wa Yang Z Taifa unawakaribisha rasmi wanachama wote kwenye tukio kubwa la kihistoria mwanzo wa enzi mpya ya YANG Z itakayobeba umoja, ushindi na mafanikio makubwa kwa Yang Z na Young Africans Sports Club kwa ujumla.

Hii si event ya kawaida… ni mwanzo wa historia mpya! 🚀

Kwa wale mashabiki vijana wa Young Africans ambao bado si wanachama, huu ndio muda sahihi wa kujiunga nasi kupitia tawi letu na kuwa sehemu ya “YANG Z GOLDEN ERA” 🤝

#WATATIII 😇🤩

📞 For more information: 0678 283 170 (Eng. Saidy)

#YangZGoldenEraParty #FootballVibesTZ #GreenAndYellow 

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅
28
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #NBCPremierLeague 
🆚 Tanzania Prisons
🗓️ 04 April 2026
🏟️ KMC Complex
⏱️ 12:30 Jioni 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa  @yangz_taifa 🔰✅
17
DEPÚ ni Mwananchi🔰

@depu__29 

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅
23
Generation of victory “Kizazi cha ushindi” vijana wa Yang Z taifa hatuna mechi ndogo wala mechi kubwa,hatuna mechi ya nyumbani wala ya ugenini,mechi zetu zote kwetu ni fainali🤩💪.

Ni katika kuhakikisha klabu yetu pendwa @yangasc inapata Matokeo mazuri dhidi ya Mpinzani wetu Wiliete na INSHAALLAH tukaibuka na ushindi wa Magoli mawili 2️⃣ Saafi🔰🫡👊..

Kituo kinachofata ni Mbeya🚎🚌🗣️

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅
30
Kuelekea Mchezo wetu wa Kesho dhidi ya Fountain Gate Fc, Mwanachama wa Tawi letu Yang Z Taifa @rahim_katimba akihamisisha mashabiki na wapenzi wa klabu yetu pendwa ya @yangasc🔰

 Waliopo maeneo jirani na mjini wa babati kuweza kufika uwanjani hapo kesho kuipa support klabu yetu.

Safari hii ya Yang Z taifa imedhaminiwa na @masterrim1 Wauzaji wa rim za magari aina zote fika katika ofisi zao zilizopo (Lumumba, pemba street Kariakoo Dar es salaam)

@mtitwa_jr 🎤

#generationofvictory 
#timuyawananchi
 #daimambelenyumamwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅
14
back to up