Instagram story viewer> @royazdad> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
“ … WAKINGA WAWILI 😂…”

Vijana tunatakiwa kuishi ndoto zetu popote pale sio hata lazima mjini , ndugu yangu @avopoafarm  nikimpa mipango ya kesho kutwa baada ya mizunguko ya leo …!!! 

Maisha ni plan na plan ni sisi wenyewe , ukiuziwa mawe unageuza fursa …!!! 

Leo sipokei simu ya mtu 🤠🙏

#2026avocadostanzania
163
“ … HONGERA SANA BOSS KUBWA …” 

@royazdad  kwa kutuamini na kuanza safari na sisi tukiwa kama walimu wako , tutafurahia tukifika pamoja na kufurahia kilimo hiki …!!!

Brand ni @avopoafarm  kisasa zaidi na nguvu kubwa tunakwenda kuanza safari hii , mengi mazuri yanakuja…!!!

Mtoto amezaliwa 🤠🫡

#2025moneytraps
13
Nimekuwa shabiki mkubwa wa melody za @royazdad aka Fuego! Ana touch unique sana za R&B so ilikuwa sahihi kumpata kwenye The Young Skywalker! 

The vocals are in! Duuh! Alivyopita ilibidi nimuulize ‘umepigaje hapo?’ Kaua sana jamaa, believe that!

Naamini utapenda alichofanya 🔥
12
back to up