Instagram story viewer> @wingsstoretz> Tagged
977
followers
1026
following
Get your drip right
POSTS STORIES REELS TAGGED
Muda wa kumtunza best friend.
Zai kila wakati yeye ni furaha tu.Sasa hapo nakupa zawadi unachekaaa,,,,,,hahahaha nakupenda zai wangu.
#aboutlastnight#zaikitchenpart#bff#hongerasanaZaiwangu#rafikiwakwelikatikashida&raha#teamutoto#asantenikwaupendowako#
23
Kwanza namshukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yangu&kunijalia karama mbalimbali kwa makusudi yake ili ziwe chachu ya mabadiliko kwa jamii&hata dunia nzima🙏🙏.
Pia mama yangu kipenzi sina la kusema juu yake zaidi ya kumwombea maisha marefu ASANTEMAMA&NAKUPENDA DAIMA.
 Kwa family yangu yote baba,kaka,dada& wanangu(Brina,Brayton,Brayani&Brayson),ndugu,jamaa&marafiki zangu woteee wewe ukiwa ni mmoja wapo asante kwa kuguswa&harakati zangu zote& hata pale ulipopitia magumu hakika ulipata nguvu ya kuanza upya bila kukata tamaa"usirudi nyuma pigania nafasi yako kwa vitendo ushindi wako unakuja". Asante sana kwa mchango wako mkubwa& kupendekeza jina langu kuingia katika tuzo za#malkiawanguvu2017&kuteuliwa kupokea tuzo hiyo kiukweli nakosa la kusema ila ASANTENI SANA kwa kuona support yangu kwa jamii kupitia @madamsopheycharitymovement asanteni pia kwa support kubwa mliyoionyesha&bado mnaionyesha katika harakati pamoja tusichoke kujitolea kusaidia wenye mahitaji maalum ni jukumu letu sote.🙏🙏👫👬👭pamoja tunaweza.
Asante nyingi kwa team@madamsopheycharitymovement
WISELADYFASTFOOD&TAKEAWAY&JAMII YANGU YA MAKUMBUSHO SEC.😘😘😘
Asante @cloudsfmtz@cloudstv kwa zawadi hii mliyoiandaa Mungu awabariki kwa kugusa maisha ya jamii&kuthamini mchango wa wanajamii.

Hakika hii ni chachu ya mabadiliko kwa jamii nzima ya wote waliokata tamaa kwa kupitia changamoto mbalimbali&kusema hawawezi pia ni faraja kwa wakina MAMA wote wenye watoto walio&changamoto ya ulemavu&hata jamii ya wote wenye mahitaji maalum kuona hata wao WANAWEZA.Mungu azidi kuwapa nguvu🙏.#sautiyangukwaajiliyao
Hongera sana kwa #malkiawanguvu2017 wote walioteuliwa. Nawe mpendwa usikate tamaa piga kazi hakika wewe pia ni #malkiawanguvu jiamini.
HARAKATI BADO ZINAENDELEA 
ASANTENI WOTE natambua&kuthamini mchango wa kila mtu😘😘😘😘😘🙏🙏.
PAMOJATUNAWEZA
#malkiawanguvu2017👑👑👑
#sautiyangukwaajiliyao
#thubutukuletamabadiliko
#madamsopheycharitymovement
#disabilityisnotinability
26
back to up