Umependa mstari gani kwenye wimbo mpya wa Rostam ft @onesixtz unaoitwa #haleluya.
Dondosha comment yako hapo chini 👇
@king_mugeta
cc: @staminashorwebwenzi @roma_mkatoriki @onesixtz
.
.
.
.
#beatkota
#2026
#ishindotoyako
#sautiyakoimekufikia
Mwanamuziki Rashakh TZ @rashakh44 ,anasema muziki unahitaji uwekezaji na ushirikiano wa watu ili kufanikisha mipango na maendeleo.
Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Midundo Pack ipo hewani karibu swahiba, kusikiliza stori za burudani na muzuki kutoka kwa @djshappa
@djplaybwaytz na @iamluckystar_tz wapo kusimamia stori za burudani mpaka saa 10 jioni.
📻 Sikiliza Uyui FM Radio popote ulipo duniani, bofya kiungo (link) kwenye bio yetu.
#2026Fanikisha #tunasambazaunyamwezi #Fanikisha #radioyetusautiyetu
"Nilikataa tamaa ya Maisha nilijiona mimi ni wa Kuzikwa tu, ila huyu Mungu Acha aitwe Mungu tu"
@official._eze
Cc
@djking_66
@sabyjeje
Endelea kusikiliza 91.3MHZ Dreamfm ukiwa Mikoa ya Nyanda za juu kusini Pia Tusikilize popote pale Duniani kupitia online Radio box au TuneIn kama Dreamfm Mbeya
#dreamfm
#TunachoraNdoto
Moyo Wa Upendo Wa @siderwanda Umefikia Mpaka Hapa. Haya Amefunguka Kupitia Xtra Ya Uplands Fm Inayoruka Kila Siku Ya Jtatu Hadi Ijumaa Via 89.1Mhz Na Radio Box.
Cc @gitobwaxx_ @manctz @codeless6
HAYA NI MAAJABU
Fungulia radio yako kupitia frequency hizi
94.5 DAR
97.0 SIMIYU
92.0 DODOMA
95.7 MWANZA
97.7 KIGOMA
96.2 MTWARA
90.5 KARAGWE
104.5 ARUSHA,
104.9 SHINYANGA
#sibukaradiotz #ariseandshinetanzania #hii_ni_vita_na_washindi_ni_sisi #news #tanzania
Mtayarishaji wa muziki wa Singeli kutoka #AMM @adasco_m2_mbad azungumza juu ya wanamuziki wa kike ambavyo hujirahisha katika kutengeneza kazi zao,
Huku akimpongeza @tiffah_devoice kati yao ndiye anayejitambua, @stizo_tz amtaja @imoofficial_tz kuwa katika wakali nae yupo kwa wasanii wakike wa Singeli. #JukuuLaKinjikitileMpwaLaMazengo kwenye kipaza muite Tandu @sleezyhitmaker_ dereva wa Kijiwe Namba.
#2DIGITAL
#KijiweNamba
#TBC2Updates
TBC2Yakijanjazaidi
Leo March 28, 2026 imefanyika tafrija ya kusikiliza nyimbo ambazo zipo katika albamu ya msanii @chaba009 itayotoka hivi karibuni, na tafrija hii imefanyika katika viwanja vya studio za @grandmasterrecords zilizopo Arusha mjini.
Mnazi Tv tupo hapa kukusogezea taarifa zote na EXCLUSIVE zote...Stay Tuned
✍️ @monnyhimself_tz
SHUHUDA HII ITAKUSHANGAZA 😭😭😭
Fungulia radio yako kupitia frequency hizi
94.5 DAR
97.0 SIMIYU
92.0 DODOMA
95.7 MWANZA
97.7 KIGOMA
96.2 MTWARA
90.5 KARAGWE
104.5 ARUSHA,
104.9 SHINYANGA
#sibukaradiotz #ariseandshinetanzania #hii_ni_vita_na_washindi_ni_sisi #news #tanzania
Msanii @madeeali anaelezea sababu za kukutana legends wenzie kwaajili ya ngoma ambayo inatarajiwa kutoka siku za hivi karibuni
@rich_msafii @februaryomar @jrjuniortz @officialdjdea @mauki_tz
✍️ @mkogoty
#PlanetBongo #HainaKuchoka
HARMONIZE ATULIE ATENGENEZE ALBUM YENYE STANDARD ZA AFROEAST-CODAX
Tufuatilie Kupitia Mitandao yetu ya Kijamii, Facebook, Instagram, Tik Tok, Mtandao wa X na Youtube kupita @bongotzfm bila kusahau Youtube bongotzfm
Hosts: @noe_thefuture @codax_mtumakini @hajathecredible
@djsameer_mastervibe @djsteveinternational @djbaby.star
@wastara84 amesema kutokan na matatizo yanayomsumbua amesema ameuza kila kitu ili apone lakin bado matatizo yanamsumbua mpaka leo ambapo anatumia gharama kubwa kupata dawa na matibabu yake
#ulimwenguwaburudani
#TunasafishaMtaa
Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya kijamii @pointfmtz kupata taarifa zetu/online tusikilize kupitia radio box & radio Garden Tafuta point Fm.