instagram story viewer > #kodi

#kodi

Posts
Waziri mkuu @mwigulunchemba akiwa anasikiliza kero za wananchi . Powered by @jondabrand .
Fani vidyoffgrhyt Ok
. . POMAY26/216 *Pre Order Legging Anak Grosiran* ๐Ÿ“ PO sd. 22 Mei 2026 jam 21.00 ๐Ÿ’ฐ *Fullpayment menjelang ready di produsen* ๐Ÿšš Estimasi ready di produsen awal-tengah Juli 2026 (bisa maju mundur) โ›” *LIST PO = No cancel* ๐ŸŒป *LIST PO = Siap transfer saat dapat tagihan* ๐ŸŒธ 1 pack isi 5 pcs (bahan, warna, motif random ya) ๐ŸŒธ 1 kodi isi 20 pcs (bahan, warna, motif random ya) ๐ŸŒธ Jenis bahan random : spandek kaos, spandek katun, spandek jersey tebal, spandek rayon, rib ๐ŸŒธ Estimasi berat per legging : 50 - 100 gram (tinggal kalikan jumlah pcs nya) ๐ŸŒธ Bahan adem, nyaman, elastis gerak bebas sepuasnya, jahitan rapi dan kuat, tidak mudah luntur dan rusak ๐ŸŒธ Size chart : - XS = Lebar pinggang 34-55 cm, Panjang celana 38 cm, Usia 0-18 bulan - S = Lebar pinggang 36-58 cm, Panjang celana 41 cm, Usia 1-2 tahun - M = Lebar pinggang 44-60 cm, Panjang celana 53 cm, Usia 3-4 tahun - L = Lebar pinggang 44-70 cm, Panjang celana 61 cm, Usia 4-5 tahun - XL = Lebar pinggang 48-80 cm, Panjang celana 63 cm, Usia 6-8 tahun - XXL = Lebar pinggang 50-88 cm, Panjang celana 68 cm, Usia 9-10 tahun ๐ŸŒธ *Kode Varian* A. Size XS Isi 5 B. Size S Isi 5 C. Size M Isi 5 D. Size L Isi 5 E. Size XL Isi 5 F. Size XXL Isi 5 G. Size XS Kodian H. Size S Kodian I. Size M Kodian J. Size L Kodian K. Size XL Kodian L. Size XXL Kodian #celanalegging #legginganak #legginganakmurah #legginganakgrosir #leggingmurah
iPhone 13 Proโœ… Murojaat uchun: 97 302 01 00 91 828 88 03 #telefon #bukhara #4k #iphone
#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA# INAPANGISHWA #APARTMENT# IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- SALASALA YA MWANZONI โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€” KODI TSHS ML 1,300,000/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 6 โ€”โ€”โ€”โ€”- APART YA KISASA _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba viwili vya kulala, #Master Ac Sebule jiko, Choo/Bafu vya ndani public herter Gypsum Tiles Slides Windows Umeme upo wa Luku yake Maji yapo ya bomba 24hrs Cars Parking Space ipo pervingblocks FencedApart Garden ____________ Nione @dalalimbezibeach_steven 0716733420 0789801905/ WhatsApp 0745366724 ______ Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA ๐Ÿ™
#agriculture #like #viral #kodi #instagood
Kino kodi: (994)๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฏ Tonight, @thv took a turn in the audience as he watched @gracieabrams and @dojacat perform at : Hollywood. No stranger to a fashion show either, the @bts.bighitofficial star dressed in a look that could have easily appeared on the runway.
Firaval ka??๐Ÿคญ๐Ÿคญ #reelsinstagram #explorepage #kokandiaries #koligeet #viralreels
Hali ya ufanyaji biashara katika soko jipya la Kariakoo umeimarika ikiwa imetimia siku 100 tangu lilipofunguliwa upya na wafanyabiashara wakifurahia maendeleo yaliyopo na usimamizi wake huku mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitaka kodi kukusanywa kikamilifu. Mhariri @moseskwindi
Kenya imekumbwa na maandamano na mgomo wa usafiri baada ya wananchi kulalamikia kupanda kwa bei ya mafuta na gharama za maisha. Nairobi, maelfu ya abiria walilazimika kutembea kwa miguu kufuatia matatu nyingi kusimamisha huduma kupinga ongezeko hilo. Bei ya petroli imepanda hadi zaidi ya Ksh 214 kwa lita huku diesel ikifikia zaidi ya Ksh 242, hali iliyozua hasira kubwa mitandaoni kupitia hashtag ya #RejectFuelPrices. Serikali kupitia Waziri wa Hazina, John Mbadi, imesema ongezeko hilo limechangiwa na hali ya soko la mafuta duniani kutokana na mgogoro wa Mashariki ya Kati. Wananchi sasa wanaitaka serikali kupunguza kodi na gharama zinazoongeza bei ya mafuta. #CFMediaUpdates #CFMediaTz
TRA imeeleza kuwa inaendelea kulinda viwanda vya ndani ili kuongeza wigo wa kodi kwa kupambana na uingizaji holela wa bidhaa nchini. Kauli hiyo imetolewa na Kamishna Mkuu wa TRA alipokutana na uongozi wa Mount Meru Group, kampuni inayozalisha mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba. TRA imesisitiza kuwa inathamini mchango wa viwanda vya ndani katika mapato ya taifa na itaendelea kuvihamasisha pamoja na wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari. Kampuni ya Mount Meru Group imepongeza juhudi za TRA katika kudhibiti magendo ya mafuta ya kupikia yanayodhoofisha viwanda vya ndani na kupunguza ushindani wa soko. Pia, Mount Meru Group imesema udhibiti wa magendo umeongeza nguvu kwa viwanda vya ndani na kuhakikisha usalama wa afya za wananchi, huku ikiipongeza TRA kwa mfumo wake wa kodi unaotabirika unaomwezesha mlipakodi kupanga malipo yake kwa ufanisi. #digitalnewstzupdate
Kodi m*nda was personal๐Ÿ™๐Ÿ˜‚ #smartai #kodi #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #reel #ai
back to up