instagram story viewer > #yangasc

#yangasc

Posts
CHUMA YA 4 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Mwakani Tena βœ… @yangasc @yangatv @alikamwe @privaldinho
Nimeombwa nipost tena hii kuonesha ni kiasi gani wachezaji wa Yanga SC wana uwezo mkubwa na wepesi wa kutafsiri maelekezo na mbinu wanazopewa na makocha - Hii inaitwa CLASS ✨ πŸ‘πŸΎ * * #davebyutibyutii #yangasc #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #yanga
SELETOTO #feitoto #msindo #tanzania #football #yangasc
ππ€πŽ 𝐋𝐀 π’π‡π€π‹π”π‹πˆπ‹π„. Tukio la bao la Mshambuliaji wa @yangasc katika mchezo wa Ligi dhidi ya FOUNTAIN GATE. HT: FOUNTAIN GATE 0-1 YANGA SC
πŸ”°πŸ™ŒπŸΌπŸ”₯πŸ”₯ @yangasc @alikamwe
Full interview Tumekuwekea kwenye Youtube channel yetu #chapesamedia . . πŸŽ₯ @officialshizzy_tz 🎀 @fikiliamri __________________ #simbasc #yangasc #sports footballgames alikamwe buruan udakutz igkenya wasafi crownmedia udakutrending mchungajiwasimba jemedarisaid derby news updates @yanga.ya.eng.hersi @uchebe_yanga1 @mandala_simba @hajismanara @ mtume_boniface_mwamposa @juma._.mgunda hansrafael14 @ricardomomo @jemedarisaid @mzeewajambia 1d
Aisee rafiki ang uwanja wa uhuru haumini macho yake asee, timu zinaukimbiaπŸ˜₯πŸ˜‚ #simbanguvumoja #wasafitv #yangabingwa #yangasc #simbasctanzania
Rais wa @yangasc Eng.Hersi Said Ali akiwa na Makamu wake Arafat Ally Haji wakiteta Jambo na Kocha wa Gaborone United. kisasa kwa ubora, ukitumia bidhaa zetu @rockblock_backup zitokanazo na miamba asili, kutoka sakafu ya mlima Kilimanjaro Tunapatikana Tanzania nzima, kwa mawasiliano, tafadhali tupigieπŸ‘‡πŸ½ Call: 0794320539
Bek mpya wa Yanga, kitasa kutoka Africa Kusini Farouk Komara ameanza vibaya mchezo wa kuwaza mbele ya Les Aigles Du Congo kwa kufanya kosa lililowapa bao la kusawazisha Wapinzani wao. Hapo na Hussein Masalanga kipa naye alaumiwe kwa kuchelewa kuchukua ya kumsaidia beki wake wakategeana alijisikilizia kabla ya kutoka. #yangasc
A few Moments later ya Mandala Simba kuhusu Selemani Mwalimu Follow @fansreporter_ #simbasc #mashabikiwasimba #mashabikiwayanga #yangasc
πŸ™Œ Mambo yalikuwa Namna hii hapa Makao Makuu @yangasc wakiweka Mambo Sawa dhidi ya Gaborone United. #welcomehome #instagram #instagood #daimambelenyumamwiko
Ila Manara ana utani wa ngumi😁😁 #simbasc #yangasc
back to up