Instagram story viewer> @tanzaniaecdnetwork> Posts
1.7K
followers
3870
following
A National Network working in Early Childhood Development (ECD) to generate knowledge and understanding in Tanzania.
POSTS STORIES REELS TAGGED
𝗜𝗻𝘃𝗲𝘀𝘁𝗶𝗻𝗴 𝗶𝗻 𝘁𝗵𝗲 𝗙𝘂𝘁𝘂𝗿𝗲, 𝗧𝗼𝗴𝗲𝘁𝗵𝗲𝗿 🇹🇿✨

​At TECDEN, we believe that every child in Tanzania deserves the best start in life. Our mission to champion integrated Early Childhood Development is ambitious, and we know we can’t do it alone. 

​We are officially inviting like-minded partners—NGOs, private sector leaders, and developmental agencies—to collaborate with us. By joining forces, we can scale our impact on healthy , nutrition, and early learning across the nation.

​Why partner with us?
📍 Proven grassroots reach.
🏛️ Strong advocacy at the national policy level.
📊 A commitment to data-driven results for children.
​Let’s build a stronger foundation for the next generation. 🌱

Credit to @betterwayfoundation for this documentary 
​#ECDAgenda #Partnerships #EarlyChildhoodDevelopment #InvestInChildren 🇹🇿
@hiltonfoundation @af_ecn @ecdaction @children_in_crossfire @nacongotz @maendeleoyajamii @ortamisemi @gschoolleaders @actionforcommunitycare @educationaboveall_eaa @girleffect @globalfund @zcrf_zanzibar @montessoritz @compassiontz @sostanzania @savethechildrentz @utpc_tz @watoto_afrika @mtotonews @gnrctanzania @dtreeinternational @egpaf @pact_tanzania @catholicreliefservices @swedenintz @tbc_online @itvtz @mwananchi_official @hakielimu @hakingowinews @crowntvtz taken in Tanzania ECD Network by @tanzaniaecdnetwork
2
9 months ago
Download
Mtoto mwenye umri wa miezi 0–24 anahitaji lishe inayozingatia hatua za ukuaji wake.

#afyaradio2026tunakusikiliza by @tanzaniaecdnetwork
2
a day ago
Download
Kupitia kipindi cha watoto cha Bam Bam kinachorushwa na Afya Radio, leo Oktoba 17, wanahabari watoto wamezungumzia jukumu la wazazi katika kuhakikisha watoto wanapata lishe bora kwa ajili ya ukuaji na afya zao.

Katika mazungumzo hayo, wanahabari watoto wameeleza tofauti kati ya lishe na lishe bora, wakisisitiza umuhimu wa watoto kupata chakula chenye virutubisho mbalimbali vinavyosaidia kujenga mwili, kuupa nguvu na kuulinda dhidi ya magonjwa.

#afyaradio2026tunakusikiliza by @tanzaniaecdnetwork
0
a day ago
Download
From Regional Dialogue to National Action: Investing in Care! 🇹🇿

Fewer than 5% of children under five in Tanzania access formal childcare services. It's time to change that! Read our recent research Tanzania’s Childcare Ecosystem: Gaps, Challenges, and Opportunities – Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN) https://www.tecden.or.tz/tanzanias-childcare-ecosystem-gaps-challenges-and-opportunities/

As we approach the International Day of Care and Support (29 October), TECDEN reflects on key conversations from the Africa Childcare Forum 2026 in Mombasa, Kenya, where our Project Officer, Christopher Peter, joined African stakeholders to advance quality, affordable, and inclusive childcare.

TECDEN is contributing to change through:

🏡 Strengthening community-based Malezi Centres.

📊 Advancing evidence-based childcare policies and investment.

🤝 Promoting partnerships and a skilled childcare workforce.

💚 Care is essential work. Investing in childcare means investing in children, caregivers, women's economic empowerment, and Tanzania's future.

📢 Let's turn commitments into action and build stronger care systems for all!

#InternationalDayOfCareAndSupport #AfricaChildcareForum2026 #InvestInCare #InvestInECD #MaleziCampaing @uniceftz@wizara_afyatz @domesticworkers @hiltonfoundation @maendeleoyajamii @af_ecn @ecdaction @idwfed taken in Mombassa, Coast, Kenya by @tanzaniaecdnetwork
0
2 days ago
Download
Doctor Of Philosophy😀
.
.
Je, unajua kwamba ushiriki wa baba katika malezi unaongeza kujiamini na uwezo wa mtoto wa kujifunza? 🧠💡

Kuanzia afya, lishe bora, ulinzi hadi mafunzo ya kila siku—baba ni nguzo muhimu sana! Malezi ni safari ya pamoja.

Wazo lako ni gani kuhusu ushiriki wa akina baba katika malezi ya kila siku?
.
Tuandikie hapa chini! ✍️
.
cc @tanzaniaecdnetwork @maendeleoyajamii @gwajimad @samrasta_tz @gviper_marketing @rakan_tz @kismat_kareem
.
.
.
.
.
.
.

 #MtotoNiMalezi  #fyp #viral #trending #foryou by @tanzaniaecdnetwork
10
2 days ago
Download
ANJITA YASHIRIKI KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAFUNZO MAALUM  KWA WAMILIKI NA WALEZI WA VITUO VYA KULELEA WATOTO WADOGO MCHANA

Dar es Salaam, 12–14 Oktoba 2026

Taasisi ya @anjitafoundation , ikiwa mdau mkuu katika utekelezaji wa Programu za Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, imeshiriki kikao kazi cha maandalizi ya mafunzo maalum ya Kitaifa kwa wamiliki na walezi wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana. Kikao hicho kilifanyika kuanzia tarehe 12 hadi 14 Oktoba 2026 katika Ukumbi wa Seashells, Dar es Salaam.

Mgeni rasmi katika kikao hicho alikuwa Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Bi. Miriam Luka Fubusa, ambaye alisisitiza umuhimu wa wataalamu walioshiriki katika kikao hicho kufanya maandalizi mazuri yatakayowezesha mafunzo hayo kutekelezwa kwa ufanisi na kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wamiliki na walezi wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana kuhusu matumizi sahihi ya Kiongozi cha Mlezi, ambacho kimefanyiwa maboresho na Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wakiwemo ANJITA, ili kuimarisha ubora wa huduma za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto nchini.

Kupitia mafunzo hayo, wamiliki na walezi wanatarajiwa kuimarisha maarifa na ujuzi wao katika kutoa huduma bora zinazozingatia mahitaji ya watoto katika hatua za awali za ukuaji na maendeleo. Huduma hizo ni pamoja na malezi yenye upendo, ulinzi na usalama, lishe bora, michezo na mazingira rafiki yanayochochea ujifunzaji na ukuaji wa mtoto katika nyanja zote.

Ushiriki wa ANJITA katika kikao hicho unaonesha dhamira ya taasisi ya kuendelea kushirikiana na Serikali na wadau wengine katika kuimarisha mifumo ya utoaji huduma za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto. Ushirikiano huu ni muhimu katika kuhakikisha wamiliki na walezi wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana wanapata mwongozo na ujuzi unaohitajika ili kutoa huduma bora kwa watoto.

Kupitia miradi ya  Mtoto kwanza, Malezi Centre na Totocare inayotekelezwa na Anjita kwa kushiriikiana na serikali, TECDEN  na Swisscontact taasisi inaendelea imarisha huduma za malezi na makuzi katika jamii.

 #MaleziMakuziNaMaendeleoYaAwaliYaMtoto #KiongoziChaMlezi #ECDTanzania taken in Dar es Salaam, Tanzania by @tanzaniaecdnetwork
3
3 days ago
Download
Happy Nyerere Day 🇹🇿

#nisaidienifanyemwenyewe #tecden #mleziborakwamalezibora💼 #montessori #temnet taken in Tanzania by @tanzaniaecdnetwork
1
4 days ago
Download
MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA KITAIFA – RUKWA
📍 Viwanja vya Shule ya Msingi Ndua

Katika kuadhimisha Wiki ya Vijana Kitaifa, Shirika la Vijana Pambana Pata Maendeleo Rukwa (VIPAMARU) linaungana na vijana na wadau mbalimbali kusherehekea mchango wa vijana katika maendeleo ya Taifa.

Kupitia maadhimisho haya, VIPAMARU inaendelea kuhamasisha uwezeshaji wa vijana, ujasiriamali na maendeleo ya jamii, sambamba na kutoa elimu kuhusu Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (ECD).

🧩 Kupitia michezo ya kujifunza, watoto wanajenga ubunifu, uwezo wa kufikiri na stadi muhimu za maisha. Kuwekeza kwa watoto leo ni kujenga msingi wa vijana wenye uwezo kesho.

Vijana wenye uwezo, watoto wenye msingi imara, na jamii yenye maendeleo! 

#VIPAMARU #WikiYaVijana2026 #Rukwa #VijanaNaMaendeleo #UwezeshajiWaVijana #ECD #KujifunzaKupitiaMichezo #MaendeleoYaJamii by @tanzaniaecdnetwork
0
6 days ago
Download
INTERVIEW YA KAZI 😀😀
.
.
Kufanya kazi na kulea watoto ni mambo yanayopaswa kwenda pamoja! ❤️👶

Ni muhimu kwa wazazi kuwapeleka watoto kwenye vituo salama vya kulelea watoto mchana (Day Care Centres) vinavyotoa malezi, makuzi na maendeleo bora ya awali. Mazingira salama yanayochochea ujifunzaji kupitia michezo na mwingiliano huwasaidia watoto kukua na kujifunza, huku wazazi wakiendelea na shughuli zao za uzalishaji mali wakiwa na utulivu wa moyo.

Mtoto anahitaji malezi bora, na mzazi anahitaji fursa ya kufanya kazi na kujenga maisha ya familia. Tuwekeze katika vituo salama na vyenye ubora kwa maendeleo ya kila mtoto na ustawi wa familia.

#MtotoNiMalezi #MaleziBora #MtotoKwanza #MaleziCampaign #MaendeleoYaMtoto

cc @tanzaniaecdnetwork @maendeleoyajamii @gwajimad @samrasta_tz @gviper_marketing @rakan_tz @mpegajr_ @kismat_kareem by @tanzaniaecdnetwork
20
6 days ago
Download
We are not only celebrating the day of child girl we are inviting everyone in the communitto take an action fot ending child marriage. @enabel_tz @childmarriagefreeworld @justrightsinternational @tanzaniaecdnetwork @hopemedia_ecd_ @girlsnotbrides_ @girlsnotbrides_

#endchildsexualabuse #endchildmarriage #childprotection by @tanzaniaecdnetwork
0
7 days ago
Download
We believe every girl deserves equal opportunities to learn, grow, feel safe, and reach her full potential. We remain committed to promoting children's rights, protection, and well-being, while advocating for a society where every girl can thrive and shape a brighter future. taken in Morogoro, Tanzania by @tanzaniaecdnetwork
3
7 days ago
Download
MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA KITAIFA – RUKWA

SIKU YA TATU | Oktoba 10, 2026📍 Viwanja vya Shule ya Msingi Ndua, Rukwa

🧒🏽🎨 Watoto wanajifunza kupitia michezo!

Katika siku ya tatu ya Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa Mkoani Rukwa, Shirika la Vijana Pambana Pata Maendeleo Rukwa (VIPAMARU) linaendelea kutoa elimu kuhusu Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (ECD).

Kupitia michezo ya kujifunza (Learning Through Play), watoto wanapata fursa ya kukuza ubunifu, uwezo wa kufikiri, kuhesabu, kutatua changamoto, kuwasiliana na kushirikiana na wenzao katika mazingira rafiki na yenye furaha.

Michezo ni sehemu muhimu ya ujifunzaji wa mtoto, kwani humsaidia kujenga stadi za msingi zinazochangia ukuaji na maendeleo yake kimwili, kiakili, kijamii na kihisia.

VIPAMARU inaendelea kuhamasisha wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kutambua umuhimu wa michezo katika kumjengea mtoto msingi imara wa maisha na kujifunza tangu umri mdogo.

📸 Tazama watoto wakijifunza kwa kucheza katika banda la VIPAMARU!VIPAMARU – Kila mtoto anastahili fursa ya kucheza, kujifunza na kukua!

#VIPAMARU #WikiYaVijana2026 #SikuYaTatu #Rukwa #ECD #LearningThroughPlay #KujifunzaKupitiaMichezo #Malezi #Makuzi #MaendeleoYaAwaliYaMtoto #MtotoKwanza #MaendeleoYaJamii by @tanzaniaecdnetwork
2
8 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up