Instagram story viewer> @tauta_tz> Posts
113
followers
24
following
🇹🇿MWENGE WA UHURU TANZANIA
🇹🇿TUNU YA TAIFA LETU
🇹🇿AMANI NA MSHIKAMANO
POSTS STORIES REELS TAGGED
MWAKANI TENA💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿 by @tauta_tz
2
20 hours ago
Download
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Credit @issa_michuzi by @tauta_tz
1
a day ago
Download
Waandamizi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa (Kushoto) Ndg,Fredrick Ndahani na (kulia) Major. Mussa Ngomambo WAKIWA KWENYE SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2026, SUMBAWANGA MKOANI RUKWA🇹🇿 by @tauta_tz
8
2 days ago
Download
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Ndg @maria__mapunda akipewa Medali na Pongezi na Mh @joelnanauka_ @waziri_wa_vijana ,Waziri Maendeleo ya Vijana baada ya kushiriki MWENGE VIJANA MARATHON iliyofanyika 12/10/2026 Sumbawanga Mkoani Rukwa kwenye wiki ya Vijana, kabla ya kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa.🇹🇿 by @tauta_tz
0
2 days ago
Download
WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2024 WAKIWA KWENYE KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI RUKWA🇹🇿 by @tauta_tz
2
2 days ago
Download
WAANDAMIZI WAKIWA KWENYE BANDA LA MAONESHO LA TAUTA -2026 📍SUMBAWANGA MKOANI RUKWA by @tauta_tz
0
2 days ago
Download
Waandamizi waliowahi kuwa Viongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 🇹🇿(katikati) Mh Godfrey Mnzava, Mkuu wa Wilaya ya Moshi, ambaye alikua kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024.

TAUTA KWA MAENDELEO💪🇹🇿 by @tauta_tz
3
2 days ago
Download
Ndg,Eng Charles Kabeho aliyekua Mwenyekiti wa TAUTA 2021-2026 amemkabidhi Ofisi Mwenyekiti mpya Ndg, Amour Hamad Amour ikiwa ni hatua muhimu katika utekelezaji wa majukumu ya Jumuiya. 2026-2031 by @tauta_tz
0
2 days ago
Download
Waandamizi wakiwa kwenye Picha ya pamoja kwenye kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026.

SUMBAWANGA-RUKWA📍 by @tauta_tz
1
2 days ago
Download
Mwenyekiti Mstaafu wa TAUTA Ndg,Charles Kabeho akiambatana na waandamizi wengine wakiwa kwenye Picha ya pamoja na Mh Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Mh @nyakiaally kwenye kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026.

SUMBAWANGA-RUKWA📍 by @tauta_tz
0
2 days ago
Download
Waandamizi wakiwa kwenye Picha ya pamoja na Mh Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Mh @nyakiaally kwenye kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026.

SUMBAWANGA-RUKWA📍 by @tauta_tz
0
2 days ago
Download
Waandamizi walivyoshiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Manispaa ya Sumbawanga🇹🇿💪Ikiwa ni Halmashauri ya 195 tangu kuanza kwa mbio za Mwenge wa Uhuru 2026. by @tauta_tz
0
3 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up