Instagram story viewer> @teddyshirima13> Posts
19
followers
34
following
Married
Mother of D³
Looking 4wd 2 be IFX member
POSTS STORIES REELS TAGGED
MUNGU MTAKATIFU, MTAKATIFU MWENYE ENZI, MTAKATIFU UNAYEISHI MILELE, UTUHURUMIE SISI NA DUNIA 🧎🏽‍♀️🙏🏽 by @teddyshirima13
0
9 days ago
Download
HAKUNA MWENYE NACHO ANAYEPENDA KUMWONA ASIE NACHO AKIPATA. UNAYEMWONA AMEFANIKIWA NDIYE ATAKAEKUWA WA KWANZA KUKUKATISHA TAMAA UNAPOANZA. ATAKUELEZA PROPAGANDA NYIINGI KWA7BU TU UMEMWOMBA USHAURI.
LA MSINGI NI KUPAMBANA KWA BIDI MSHIRIKISHE MUNGU MIPANGO YAKO UKIPATA NYAMAZA KIMYA MWENYEZI MUNGU ATAKUHESHIMISHA PERIOD! 
*MITHALI 3:1-7*
*ZABURI 23:5*
*GOOD MORNING 🌞🌄 ALWAYS* by @teddyshirima13
0
15 days ago
Download
Yes 💯, I salute IFX for their support to many Tanzanian and all over young generation who appreciates the support given by brother Amry, Mike et al.... Kimsingi mnafanya utume ambao ni wachache sana wanaoweza kufanya..... Ashukuriwe Mwenyezi Mungu ambaye amewapa moyo wa kupuuzia wale wanaowaona kama hamfanyi kitu...... Acha wenye wivu waendelee kuloloma keep going guys... wengine tutaendelea kupata madini japo we knew nothing, right now we know something..... indeed better is not enough the best is yet to come💪💪🔥🔥🔥🔥#IMPACTINGMILLIONSTOMANY# by @teddyshirima13
0
2 months ago
Download
Ni Neema sana kuona kuna mtu/watu wanaku-appreciate ktk maisha yao kama hivi 👇🏽👇🏽

Shikamoo Madam , natumaini uu mzima wa Afya kabisa. 
Ntakuwa mchoyo wa Fadhila nisipokushukuru kwa ushirikiano wako katika safari yangu ya Elimu. 
Basi Nipende kutoa shukran zangu za dhati sanaa kwako Madam wangu kwa support yako katika kipind chote tulichokuwa pamoja na wewe katika Masomo yangu ya Diploma. Mwenyezi Mungu azidi kubariki sanaa,palipopungua pakaongezeke zaidi na ulipojitoa pazidi kujazwa zaidi.
Naahidi Sala zangu kwako kila hatua unayoipiga iwe Ya Baraka kwako pamoja na Familia kwa ujumla.
Mungu akipenda tutakutana semister ijayo kwa ajili ya Bachelor Degree.

Nakutukuza Ee Mwenyezi Mungu kwa ajili ya binti yako ni maombi yangu uzidi kumwongoza ktk kila kitu na kila hatua atakayopiga ktk safari yake ya masomo🙏🏽🙏🏽 by @teddyshirima13
2
2 months ago
Download
Kujitoa kumtumikia Mungu ktk Roho na kweli, bila kuogopa chochote maishani Bwana Yesu anatuahidi tutakuwa naye kwa Mungu Baba. Naam, tukiishi maisha ya utakatifu (tabia, mwenendo, staili za maisha yetu zikifanana na Yesu) Mungu atatuheshimisha maisha yetu yote. Let's keep saving God faithful 🙏🙏🙏 by @teddyshirima13
0
2 months ago
Download
Ninakupenda Mungu wangu, nisaidie katika udhaifu wangu. #Goodmorningwineveryday# by @teddyshirima13
0
2 months ago
Download
I trusted you, I trust you so will I trust you forever my Lord Jesus Christ ❤️ 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 by @teddyshirima13
0
2 months ago
Download
Kupanga ni kuchagua, napambana na IFX and I believe one day yes! by @teddyshirima13
0
2 months ago
Download
Mwenyezi Mungu akutangulie baba, kila unalofanya lifanikiwe, akuepushie wabaya na mabaya yote, akupe kibali na kukutanisha na watu sahihi siku zote 🙏🏽. #Hesabu 6:24-27# by @teddyshirima13
0
3 months ago
Download
Dear Lord, direct me into right path always 🙏🏽 by @teddyshirima13
0
3 months ago
Download
Naomba unifanye niwe baraka kwa wengi Ee Baba. by @teddyshirima13
0
3 months ago
Download
Ahsante Mwenyezi Mungu kw kuniajalia afya njema, tufanye mazoezi kwa afya ya mwili na ubongo🤸🤸 by @teddyshirima13
0
3 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up