Instagram story viewer> @the_palstz> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Katika Event ya @_bistar aka Mwadawa kikala  na mashabiki zake ndani ya Morogoro akiwa sambamba na Familia mzima ya Mzee Kikala  kutoka @kombolela_season_2_official kukutana na 

Manager wa @The_palstz Kaka Ibrahim Lukanda  anasema Ulinzi ni wakutosha asilimia kama zote . Kikubwa wewe njoo na Familia yako tu. 

siku:  25 Julai 2026 
Mahali : @the_palstz Station Road Morogoro 

Zile vurugu za Kombolela zitahusika Hapa Siku hiyo. 

Hii siyo ya kukosa mtu wangu 

Viingilio:
VIP
Meza ya watu watano 400000/=
Meza ya watu watano 300000/=
Meza ya watu watatu 150000/=

Kawaida :
watoto 5000/=
wakubwa 10,000/= 

cc @_bistar @mzee_kikala @kobisi_kikala_ @mashavu_kikala 
@kherimkamba by @the_palstz
1
4 days ago
Download
MOROGORO, MMEJIANDAA? 🔥
NI JUMAMOSI HII🔥🔥🔥🔥

BISTAR NA MASHABIKI – SEASON 2: HOMECOMING FESTIVAL inakuja kwa kishindo!

📅 25 Julai 2026
📍 Pals Night Club & Lounge, Station Road – Morogoro

🎟️ Viingilio:
✨ VIP: TSh 400,000 | 300,000 | 150,000
🎫 Kawaida: Watoto TSh 5,000 | Wakubwa TSh 10,000

🔥 Hifadhi meza yako mapema na usikose moja ya matamasha makubwa ya mwaka!

@habarimorogoro – Sauti ya Morogoro
@_bistar
@the_palstz 
@dijavacompany 
@nyundo_tv 
@azamtvtz 
@dijjahcollection_handbags 
@dizzimfm 
@planetfmtz 
@aboodmediatz 

#BistarNaMashabiki #HomecomingFestival #Morogoro #25Julai #HabariMorogoro SautiYaMorogoro by @the_palstz
12
5 days ago
Download
MOROGORO, MMEJIANDAA? 🔥

BISTAR NA MASHABIKI – SEASON 2: HOMECOMING FESTIVAL inakuja kwa kishindo!

📅 25 Julai 2026
📍 Pals Night Club & Lounge, Station Road – Morogoro

🎟️ Viingilio:
✨ VIP: TSh 400,000 | 300,000 | 150,000
🎫 Kawaida: Watoto TSh 5,000 | Wakubwa TSh 10,000

🔥 Hifadhi meza yako mapema na usikose moja ya matamasha makubwa ya mwaka!

@habarimorogoro – Sauti ya Morogoro
@_bistar
@abdullywriter 
@lamataleah 

#BistarNaMashabiki #HomecomingFestival #Morogoro #25Julai #HabariMorogoro SautiYaMorogoro by @the_palstz
1
5 days ago
Download
Jambo limeivaaaaa bi star na mashabiki sasa zamu ya Morogoro mji kasoro bahari ni tr 25/7 kiingilio ni 5000 kwa watoto wakubwa 10,000 na meza maalum zipo .Ukumbi ni @the_palstz jambo litaanza saa tatu Asubuhi hadi majogoo 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
@chegechigunda by @the_palstz
14
15 days ago
Download
See this F R I D A Y MIMI NA VICHAU WANGU WOTE wa MORO TOWN tutakuwa hapa @the_palstz I SWEAR IT’s goin to be LIT 🔥 

#thesweetestfemaledjever🙌🏻🎧 #theycallmefemalemonsternowdays👽 

MSISEME SIKUSEMA…… 🙌🏻 by @the_palstz
2
18 days ago
Download
Morogoro tunajambo letuuuuu💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻

Tarehe 25/7 kwenye ukumbi wa @the_palstz kuanzia Saa tatu Asubuhi hadi majogoo.kwakiingilio cha 5000 kwa watoto na 10,000 kwa wakubwa. Pia kuna meza maalum kwa laki 5, laki 3 na laki moja na nusu karibuni tufurahi na wasanii wetu tuwa pendao 🙏 by @the_palstz
11
19 days ago
Download
Jumamosi tuliivu kabisa 

Fika pals night club and lounge 
Iliopo station road near oasis hotel 

Gud music 
Delicious food 
Gud vibe by @the_palstz
0
21 days ago
Download
Morogoro kumekuchaaaaa💃🏻💃🏻💃🏻

mashabiki zetu ni zamu ya Morogoro  njooni  tufurahi pamoja na mastaa wenu. Ni tarehe 25 mwezi huu wa saba. Kuanzia saa 3 Asubuhi mpaka majogoo. Ukumbi THE PALS LOUNG Kwa kiingilio cha 5000 mtoto  na wakubwa 10,000 tufurahi. Pia kutakuwa na meza za VVIP 500,000 na kunameza za 300,000 na 150,000 lipia tiketi yako mapema kwa no 0748468425🙏
@the_palstz
@mussa.kilakala by @the_palstz
15
22 days ago
Download
Jumamosi hii ambayo ni kesho 27/6

Wewe unakosaje

Free entrance 

Kuanzia saa 10 jion mbakaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 

@the_palstz taken in Morogoro, Tanzania by @the_palstz
2
a month ago
Download
Haya! hii ni msamvu kwetu jambo ni tarehe 25 mwezi wa saba karibuni tusherehekee @the_palstz by @the_palstz
7
a month ago
Download
🚨🔥 ATTENTION PARTY PEOPLE! 🔥🚨

Je, uko tayari kurudi kwenye zama za nyimbo zilizotufanya tuimbe kwa sauti, tucheze bila kujali na kutengeneza kumbukumbu zisizosahaulika? 🎶🕺💃

Basi usikose OLD TUNE VIBE itakayofanyika tarehe 27 June pale The Pals Lodge!

🎵 Old School Hits🎤 Sing Along Moments💃 Non-Stop Dancing🔥 Pure Good Vibes

Usiku wa kuwakumbusha wengi kwanini muziki mzuri hauzeeki! Chukua crew yako, vaa vizuri na uje kuandika historia nyingine ya burudani pamoja nasi.

📍 The Pals Lodge📅 27 June

@the_palstz 

#OldTuneVibe #ThePalsLodge #OldSchoolNeverDies #GoodVibesOnly @the_palstz taken in Morogoro, Tanzania by @the_palstz
5
a month ago
Download
Unaambiwa yakale ni dhahabu. Karibuni Morogoro 🙏 by @the_palstz
4
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up