Instagram story viewer> @thepriscaeffect> Posts
368
followers
69
following
โœจ The Prisca Effect
๐Ÿ‘‘ Miss Cosmo Tanzania 2026 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ is @prisca__lyimo
Celebrating the woman. The journey. The impact #HATUAMPYA
๐Ÿค Fan Page
POSTS STORIES REELS TAGGED
PRISCA NATION, TUJIANDAE! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Award nyingine imefunguliwa hivi karibuni  Best Choice by Cosmo New Era ๐Ÿ‘‘โœจ

Kwa award hii, hawataangalia votes tu. Pia wataangalia:

* Public image ya contestant
* Personal profile yake
* Project zake na purpose yake
* Dedication yake
* Na pia fan voting โค๏ธ

Hii inamaanisha support yetu itakuwa muhimu sana wakati voting itafunguliwa. ๐Ÿ”ฅ

Kwa sasa, tuwe ready tu. Full voting details bado hazijatoka, lakini zikishatoka tutawa-update wote hapa.

Letโ€™s support our Miss Cosmo Tanzania 2026, @prisca__lyimo ๐Ÿ‘‘

@misscosmonewera @missgrandtanzania_2026_2027 
#PriscaNation #misscosmointernational #MissCosmoTanzania2026 #HATUAMPYA by @thepriscaeffect
70
12 days ago
Download
PRISCA NATION, JIANDAENI! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Cosmo New Era Awards 2026 zinakuja, na muda si mrefu itakuwa wakati wetu kumuonyesha support Miss Cosmo Tanzania wetu, @prisca__lyimo !

Kwenye upande wa Miss, awards zilizotangazwa ni:
โœจ Miss Cosmo Unicornโ€™s Choice
โœจ Best Choice by Cosmo New Era
โœจ Best Face by Cosmo New Era

Hizi ni fan-organized awards, na taarifa zaidi kuhusu voting zitatangazwa baadaye kupitia @misscosmonewera 

Kwa sasa, tujiandae tu! ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Voting ikifunguliwa, tutawaletea taarifa zote hapa ili Prisca Nation tushirikiane kumpa queen wetu support ya kutosha.โค๏ธ

Tanzania, muda ukifika tunapiga kura! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ

@misscosmonewera 
#PriscaLyimo #MissCosmoTanzania2026 #MissCosmoInternational #CosmoNewEraAwards2026 #hatuampya by @thepriscaeffect
26
a month ago
Download
PRISCA NATION, TUMO TOP 16! ๐Ÿ”ฅ

Mrembo wetu @prisca__lyimo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ amechaguliwa na waandaaji wa BEST FACE BY COSMO NEW ERA 2026 kuwa miongoni mwa warembo 16 bora! ๐Ÿ’Ž

Hatua ya kwanza, TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ VS INDONESIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ!

๐Ÿ—ณ๏ธ UPIGAJI KURA UNAANZA KESHO, TAREHE 17 OKTOBA!

PRISCA NATION, TUWE ACTIVE! ๐Ÿ”ฅ

Kesho nitawajulisha mara tu post rasmi ya kupigia kura itakapowekwa na kuwaelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kumpigia kura Prisca.

Kwa sasa, hakikisheni mmefollow @misscosmonewera ili muwe tayari!

โš ๏ธ Kumbukeni, kura zitachangia asilimia 50 ya matokeo, hivyo sapoti yetu ina umuhimu mkubwa!

TUSIKOSEKANE KESHO! ๐Ÿ’™๐Ÿ”ฅ

Tushirikiane, tuhamasishane na tuonyeshe nguvu ya Team Prisca! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

THE PRISCA EFFECT ๐Ÿ‰๐Ÿ’™

#PriscaLyimo #TeamPrisca #PriscaNation #MissCosmoTanzania2026 #bestfacebycosmonewera by @thepriscaeffect
228
a day ago
Download
@misscosmotanzania @prisca_lyimo_misscosmo @priscalyimo_tz @prisca_lymo_fans_page_ @prisca_thecosmostar @prisca_loversmiss_cosmotz2026 @cosmotz2026 @thepriscaeffect @prisca__lyimo by @thepriscaeffect
9
2 days ago
Download
#HATUAMPYA @misscosmotanzania by @thepriscaeffect
22
9 days ago
Download
TORNADO by @thepriscaeffect
9
15 days ago
Download
Maasai Girl โค๏ธ by @thepriscaeffect
53
15 days ago
Download
SEXY IN BLACK โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜Ž

PLEASE FOLLOW PAGE YA @MISSCOSMOTANZANIA TUFIKE 10K FOLLOWERS LET'S GOOO GUYS 

@cosmoholic.official @prisca_thecosmostar @thepriscaeffect @team__purrie @prisca_lyimo_vibe by @thepriscaeffect
20
16 days ago
Download
Sijamboo Baba Ndululu ๐Ÿ˜

@priscalyimo_empire @prisca_thecosmostar @priscalyimo_tz @thepriscaeffect @team__purrie by @thepriscaeffect
25
17 days ago
Download
Nigerians call her SIMISOLA ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ
Tanzanians call her PRISCA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
BUT Vietnam know her as MISS COSMO TANZANIA by @thepriscaeffect
20
19 days ago
Download
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœˆ๏ธ ALL THE BEST, ROSSIE! ๐Ÿ‘‘๐ŸŒ

As you depart for Thailand to represent our beautiful Tanzania at Miss Global, we wish you nothing but the very best on this incredible journey. โค๏ธ

Walk with confidence, enjoy every moment, make beautiful memories, and most importantly, let the world experience the beauty, strength, and spirit of Tanzania through you. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

May God guide you, protect you, and open doors for you throughout this journey. 

Go shine, Miss Global Tanzania 2026 @rossie__.uisso ! ๐Ÿ‘‘
Tanzania is behind you. Bring your magic to Thailand! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ญ๐ŸŒ

Safari njema, Queen! โœˆ๏ธโค๏ธ by @thepriscaeffect
15
20 days ago
Download
Okay but seriouslyโ€ฆ ๐Ÿ‘€๐Ÿ˜‚

Eti wamefanana? Nataka kujua nanyi mnaona nini ๐Ÿ˜โค๏ธ
Coincidence tu, au kweli kuna kitu hapo? ๐Ÿคญ
Tuambie, kitu gani ume-notice first ? by @thepriscaeffect
75
23 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up