Instagram story viewer> @tiaso_dsm> Posts
2119
posts
20.7K
followers
11
following
Tanzania institute of accountancy students organisation - TIASO
President 2026/2027 - BILLAN SABATO
Education for efficiency.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
KURA YAKO, NGUVU YANGU! 💙Ndugu, marafiki na wote mnaoniamini,Nimebahatika kuteuliwa katika Silent Ocean UNI Awards 2025/2026 kwenye kipengele cha Best Female Public Speaker.Hii si tu tuzo yangu, bali ni ushahidi kwamba sauti ya kijana inaweza kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kila hotuba, kila ushauri na kila hatua niliyochukua imekuwa kwa lengo la kuhamasisha, kuelimisha na kugusa maisha ya wengine.Leo naomba imani yako na kura yako. Kura yako inaweza kuwa hatua muhimu ya kunisogeza karibu na ushindi.🙏 Naomba nipigie kura, kisha share ujumbe huu ili tufike kwa watu wengi zaidi.Category: Best Female Public SpeakerNominee: Rachel W. Ntumbahttps://uniawards.co.tz⁠�Asante kwa kuendelea kuniamini, kuniombea na kuniunga mkono. Tushinde pamoja! ❤️🏆#VoteRachelWNtumba #BestFemalePublicSpeaker #SilentOceanUniAwards #YourVoteMatters #TogetherWeWin by @tiaso_dsm
0
2 hours ago
Download
Waswahili walinena vyema 🙌🏽Kutokea uhasibu baada ya kudondosha pen chini sasa wapo teyari kunyanyua Tuzo zao juu siku ya tarehe 31 July 2026 Ijumaa pale EACLC UBUNGOUmeshanunua Tiketi Yako??, Nunua Tiketi yako Mapema Kabla Hazijaisha.Normal = Tsh 10,000Couple = Tsh 18,000VIP = Tsh 50,000Table = Tsh 100,000Nenda kwenye tovuti yetu kununua tiketi yako: uniawards.co.tzWasiliana nasi kwa namba: +255 755 722 068 au +255 765 533 034#HakunaKusupp #KipatoChakoChatoshaPowered by: @silent_ocean_ltd, @cocacola_kwanza, @efmtanzania, @unimediatz, @talktolova, @crdbbankplc, @eaclc_official, @tacaidsinfo, @paiprotech, @twenderide, @icaretechnologytz_, @databenki#UNIAwards2026 #SilentOcean by @tiaso_dsm
15
9 hours ago
Download
Aibu mtaona nyie🔥🔥Sisi ndo tushamaliza hivyoo🤣 by @tiaso_dsm
16
20 hours ago
Download
Leo leo leo🔥🙌Vyuo vyote Makutano Ni Pweza beach Resort 🏖️Kigamboni 🚦Save Energy Save Kibunda Maana Tunakuja Kuluka kama Hatujawahi Kuluka💃🕺🧨 by @tiaso_dsm
0
a day ago
Download
 by @tiaso_dsm
3
a day ago
Download
MHE PREZ'DAH AKIWA KATIKA MAHOJIANO NA NAIIBU WAZIRI WA HABARI AKIWA ANAELEZA NI KWANAMNA GANI HILI ZOEZI LA PENS DOWN LITAVYOENDA KUFANYIKA KWA UKUMBWAA SIKU YA LEO USIPANGE KUKOSA. UNAKOSAJE KWA MFANO NJOO UJIPATIE TICKET YAKO SASA OFFICE YA SERIKALI YA WANAFUNZI (TIASO) KWA SHILLING 5000 TU by @tiaso_dsm
7
a day ago
Download
THE LINE UP TIASO PENS DOWN PARTY 🔥🔥🚨🚨 THIS FRIDAY 24/7 Performance By @laxcy_tz TzMusic policy: @Dj dommy jr & @Dj phanter 47 Alongside Dancers Hosted by: @j4_matshirt Matshirt 🎤🎤 ALL COLLEGES INVITED GRAB YOUR TICKET NOW ✅✅ : 0653196559cc @tiaso_dsm @tia._icon @tia_celebrite@mwanachuo_family by @tiaso_dsm
1
a day ago
Download
UNAKOSA JE....!?KWA MFANO.. MWANA TIA NJOO UJICHUKULIE TICKET 🎟️ YAKO KWA SHILLING 5000 TU YAKITANZANIA PALE OFFICE ZA SERIKALI YA WANAFUNZI(TIASO)SIYO HIVYO TU HATUJAISHIA HAPO VYUO VYOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUSHIRIKI NASI KWA GHARAMA YA 5000 TU.WAHIIII SASA UJIPATIE TICKET YAKO MINISTER OF SOCIAL AFFAIRS MR MWANJAPHONE;0655044562#tia_icon #pwezabeachresortkigamboni by @tiaso_dsm
36
2 days ago
Download
THE LINE UP TIASO PENS DOWN PARTY 🔥🔥🚨🚨 THIS FRIDAY 24/7Music policy: @Dj dommy jr & @Dj phanter 47 Alongside Dancers Hosted by: @j4 Matshirt 🎤🎤 ALL COLLEGES INVITED GRAB YOUR TICKET NOW ✅✅ : 0653196559cc @tiaso_dsm @tia._icon @tia_celebritie @mwanachuo_family1 by @tiaso_dsm
7
3 days ago
Download
SERIKALI YA WANAFUNZI KUPITIA RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI MHESHIMIWA BILLAN SABATO ANAPENDAKUWAJULISHA KUWA SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 24 |7|2026KUTAKUWA NA (PENS DOWN PARTY) ITAKAYOFANYIKA KIGAMBON (PWEZA BEACH)LENGO LA KUANDAA TUKIO HILI NI KUKUTANA NAKUJIPONGEZA KWA HATUA KUBWA KAMA YA WANAFUNZI YAKUWEZA KUMALIZA MWAKA WA MASOMO SALAMA PAMOJA NA MITIHANI 🙏.TICKETS ZOTE ZA PENS DOWN PARTY ZINAPATIKANA KATIKAOFISI ZA SERIKALI YA WANAFUNZI (TIASO)WANAFUNZI WOTE WA VYUO MBALIMBALI MNAKARIBISHWASANA KWANI TUKIO HILI NI LA KWETU SOTE.🙏#tiaso #tia by @tiaso_dsm
2
4 days ago
Download
HELLOOO WANAFUNZI WA TIAAAAAAAAAAASERIKALI YA WANAFUNZI IMETUANDALIA PENS DOWN PARTY🔥🔥🔥SIKU NI TAREHE 24/7/2026LOCATION NI PWEZA BEACH RESORT( KIGAMBONI) MTAARIFU NA MWIZAKOOI HII SIO YA KUKOSAAA🔥🔥🔥🔥TICKET ZINAPATIKANA OFISI ZA SERIKALI YA WANAFUNZI ( TIASO) #tia #pwezabeachresort #ishaanmass✍️ by @tiaso_dsm
28
5 days ago
Download
Help me chase my CROWN 👑✨ Today we stand with our queen Eve Godwin - Miss Grand Mtwara & Miss TIA. Every cheer, every vote, every ticket counts. Let’s fill the room and bring the crown home 🇹🇿#missgrandmtwara2026 #evagodwin#Mr.mwanja by @tiaso_dsm
5
5 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up