Instagram story viewer> @twins_nation01> Posts
1669
posts
46.2K
followers
7422
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Ungefanya Nini Comment kama Ex ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿผ by @twins_nation01
60
3 days ago
Download
Bado Kidogo Niseme @ankonzala Au @mr.pimbi Nikaja kugundua Kumbe ni mechiiiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿผ @kiredio_ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @twins_nation01
29
6 days ago
Download
Kiukweli Tunajivunia Kama Watanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kuona Afcon 2027 kija kufanyika kwetu sisi kama Wadau wa soka Tulipata kujifunza vingi nchini moroco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ 2025 #Afcon tulikua kama influencers waalikwa , kuna vitu vingi nchi inanufaika kupitia kua mwenyeji wa kombe hilo la Africa Na nchi hukua na kunufaika kiuchumi, utalii , biashara ,fursa zinaongezeka. Tulikua tunaomba MH @baba_keagan Juhudi zako usiache kutupambania kama ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ juhudi zako tunaziona na Mpaka Tanzania kua ( Host ) wa #Afcon2027 Hakika kama nchi ni Hatua kubwa sana , wapo watakao lichukulia kawaida hiii swala coz hawana ushuda wa kuona faida ya kua Host wa #Afcon ila ni jambo ambalo Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tukiitumia Hii Fusra kuna vitu vingi vitafunguka Na kuongezeka ikiwemo 
UCHUMI , UTALII N.k Sie Kama Waigizaji Wa Filamu Tanzania Nilitamani kuona wasanii Kupambania na Kujitoa kupush Hii Project kwa kuipromote nchi yetu kupitia majukwaa yetu mitandaoni MH @baba_keagan Tunamengi Ya kusema kuhusu tulichojifunza Huku Tunatamani kuona na sie kama watanzania kuwa wazalendo na kushikamana na kuipeperusha ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโšฝ๏ธ ๐Ÿ™๐Ÿฝ Tunamengi sanaaa ya kukwambia Mh @baba_keagan Endapo tutakapo pata nafasi hio japo ya kukutana tungeshkuru sana japo kushare  tuliojifunza huko ๐Ÿ™๐Ÿฝ tutashkuru sana MH , Maana Kuna Vitu vingi tunatamani kuvifanya But Sisi wenyewe Hatutoweza Bila sapport yenu kama viongozi , Mkitushika mkono na kutuongoza Na kusikia kiliochetu tutafurahi sana ๐Ÿ™๐Ÿฝ Sisi kama wazalendo wa nchi yetu tunatamani sana kufanya makubwa sana kwaajili ya nchi yetu kwenye upande wa filamu na Entertainment kiujumla but bila nguvu yenu kama serikali litakua halijatimia tulikua tunaomba sana viongozi wetu ๐Ÿ™๐Ÿฝ msikie kilio chetu @baba_keagan 

TUNA KILA SABABU YA KUJIVUNIA KUA MOJA YA (HOST) WA KOMBE LA AFRICA #AFCON2027 @gersonmsigwa @baba_keagan 

Cc @samia_suluhu_hassan @gersonmsigwa @baba_keagan @mwigulunchemba @gwajimad @ridhiwani_kikwete @salma_kikwete @jakayakikwete taken in Rabat, Morocco by @twins_nation01
14
12 days ago
Download
SAMAKI VIBES CHINI YA MAJI ๐ŸŸ๐Ÿ’ฆโค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ taken in Fumba, Zanzibar Urban/West, Tanzania by @twins_nation01
34
13 days ago
Download
Hallo Video Is Out ๐Ÿ“บ Letโ€™s Go๐Ÿšจ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
Artist: @billnass x @officialnandy 
Direct By @director_kenny 
produce By @s2kizzy taken in Dar es Salaam, Tanzania by @twins_nation01
23
17 days ago
Download
Tunapenda Kufikiri Tunachofikiria kufanya , Kuliko Kufanya tunacho fikiri โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝโœˆ๏ธ by @twins_nation01
32
22 days ago
Download
HONGERENI SANA MY TEAM @yangasc na viongozi wetu wote hakika nyie mnastahili pongezi kubwa kwa kutupambania Kwa hizi Raha 

WE ARE THE CHAMPION๐Ÿ†๐Ÿฅ‡๐Ÿ’š๐Ÿ’›

Cc @caamil_88 @counsellorsalaah @alikamwe taken in Dar es Salaam, Tanzania by @twins_nation01
22
25 days ago
Download
Kesi Ishakua ngumu Huku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
Sponsored by @kisscondomstz taken in Dar es Salaam, Tanzania by @twins_nation01
49
25 days ago
Download
Sasa Mtu Asifanye Biashara jamani ? taken in Dar es Salaam, Tanzania by @twins_nation01
111
a month ago
Download
Ukiwa ujatendwa unaweza Usielewe but Inaumwa sana ukiwa unampenda mtu na yeye akiwa anachukulia poa GINI @itsdvoice  Raha Ya mapenzi Umpate Anaekupenda na mnaongea Lugha moja ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽง

ARTIST @itsdvoice taken in Dar es Salaam, Tanzania by @twins_nation01
27
a month ago
Download
Uaweza Kumpigia Ex Wako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿผ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @twins_nation01
100
a month ago
Download
Happy Birthday Baba ๐ŸŽ‚ @richmakar Mungu Akujaalie Afya njema na mafanikio๐Ÿ”ฅ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @twins_nation01
6
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up