Instagram story viewer> @uplandsfm> Posts
14784
posts
19.2K
followers
0
following
Located At Nazareth Njombe Tanzania
89.1MHz Covering Almost The Southern Highlands of Tanzania.
👇👇👇 Follow Us on Other Social Networks
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Leo Igwachanya inashuhudia tukio kubwa la mwana habari wetu @gabrieleliaskila kufunga ndoa na familia nzima ya uplands fm ipo hapa kumuunga mkono.Cc @mcmaskinijeuri @jedahdj @gitobwaxx_ @codeless6 Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
4
10 hours ago
Download
Leo ni siku ya furaha kwa mwanafamilia wetu @gabrieleliaskila ambapo ametimiza agano la MUNGU kwa kuingia kwenye ndoa halali.Cc @official_nobbyswale @gitobwaxx_ @rdjlukashow255 @shanimalipula @dainessfrank Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
4
11 hours ago
Download
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amemtembelea na kumjulia hali Mdau wa mziki na mlezi wa vipaji, Mkubwa Fella, nyumbani kwake, ambapo alimkabidhi msaada wa shilingi milioni 20.Majaliwa pia alifanya naye mazoezi mepesi ya viungo na kupata fursa ya kufanya mazungumzo marefu kuhusu mchango mkubwa wa Mkubwa Fella katika kukuza na kuendeleza muziki wa Tanzania pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu tasnia ya sanaa.Aidha, Majaliwa ameahidi kuendelea kumtembelea Mkubwa Fella mara kwa mara ili kufuatilia maendeleo ya afya yake na kumpa faraja.Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
0
16 hours ago
Download
“Natumaini Mafunzo haya yanakwenda kuongeza tija katika utendaji kazi”.Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Olivanus Thomas ameeleza hayo wakati akizungumza na watendaji Wilayani Ludewa.Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
0
21 hours ago
Download
Mapokezi ya wanafunzi wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza Level one katika chuo cha Mpechi VTC Mkurugenzi wa chuo hicho Bi.Abia ametoa wito kwa wazazi kuhakikisha wanapeleka watoto wapate elimu.Cc. @deusiawenasi Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#tunaishinao2026#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
4
a day ago
Download
Hivi hapa vigezo vya kujiunga na chuo cha biashara CBE.Cc. @masai_mtukazi @jema_mgungile @cbembeya_official Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#tunaishinao2026#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
1
2 days ago
Download
“Kuna vyuo vingi sana ambavyo vipo nchini Tanzania lakini sehemu ambayo pekee ni chuo cha biashara CBE.” KayomboCc. @cbembeya_official @masai_mtukazi @jema_mgungile Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#tunaishinao2026#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
13
2 days ago
Download
Afisa masoko wa chuo cha biashara behewa la Mbeya Fortinet Kayombo ameeleza namna ambavyo chuo cha biashara @cbembeya_official ni sehemu pekee ambayo mwanafunzi anapata wasaa wa kujua mambo mengi kuhusu biashara.Cc. @masai_mtukazi @jema_mgungile Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#tunaishinao2026#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
6
2 days ago
Download
Wale waliotamani kucheza na chama la kibrazil Uplands Fc waje washiriki ligi ya HRN Foundation Ihadzutwa ili wapate fursa ya kucheza nalo.Cc. @deusiawenasi @oscar97_jr @chungwalive Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#tunaishinao2026#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
1
2 days ago
Download
Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwaraimemuhukumu kifungo cha miaka 18 jela Yusuph Twalibu Msindo maarufu kama Baba Amina (40) mkulima, mkazi wa Kijji cha Njinga Kata ya Ndanda, Tarafa ya Chikundi, Wilaya ya Masasi baada ya kukiri kosa na kupatikana na hatia ya shambulio la aibu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema hayo leo July 24,2026 wakati akitoa matokeo ya baadhi ya kesi zilizofikishwa Mahakamani na Polisi na kufika mwisho kati ya mwezi June na July 2026.Twalibu alimvua suruali Mhanga kisha akachukua uume wake na akauchezesha kwenye sehemu ya haja kubwa ya Mhanga ambaye ni mlemavu hadi akafika kileleni.Kamanda Issa amesema “Mtiwahatiani alitenda kosa hilo na kukamatwa tarehe 27.03.2026 katika Kijiji cha Njenga. Kesi namba.9201/2026 hukumu ilitoka 08.07.2026”Cc. @dainessfrank @masai_mtukazi Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#tunaishinao2026#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
12
2 days ago
Download
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Olivanus Thomas, amewataka watumishi wa umma, hususan Watendaji wa Kata na Vijiji, kuendeleza ushirikiano na kusaidiana katika matumizi sahihi ya mifumo ya manunuzi ili kuongeza ufanisi, uwazi na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao.Akizungumza leo, tarehe 24 Julai 2026, wakati wa mafunzo elekezi ya masuala ya Ununuzi na Ugavi kwa wataalam wa ngazi za chini (Lower Level) yakiendelea kwa Siku ya Pili, yaliyowakutanisha Watendaji wa Kata na Vijiji, Waganga Wafawidhi wa Vituo vya Afya pamoja na Watumishi wa Manunuzi, Mhe. Olivanus alisema kuwa si kila mtumishi anaweza kuielewa mifumo kwa wakati mmoja, hivyo ni muhimu kujenga utamaduni wa kusaidiana na kupeana uzoefu.Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya aliwapongeza Watendaji hao kwa ushirikiano wao katika usimamizi wa ukusanyaji wa mapato, akieleza kuwa hawakuwaacha mawakala wakifanya kazi peke yao bali walishiriki kikamilifu katika hatua zote za ukusanyaji wa mapato. Alisema jitihada hizo zimechangia mafanikio makubwa ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa kufunga mwaka wa fedha 2025/2026 kwa kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 4.9.“Ninafurahishwa na utendaji kazi wenu mzuri na wenye kujituma katika kuhakikisha Wilaya ya Ludewa inasonga mbele kimaendeleo. Endeleeni kufanya kazi kwa ushirikiano na uwajibikaji,” alisisitiza.Kwa upande wake, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ludewa, Ndg. Omary Mkangama, aliwakumbusha washiriki kuwa matumizi yote ya fedha za umma lazima yafanyike kupitia mifumo rasmi ya serikali. Pia aliwataka kuhakikisha mapato yote yanakusanywa kwa kutumia mifumo hiyo ili kuimarisha uwazi, usahihi wa taarifa za kifedha na usimamizi bora wa rasilimali za umma.Cc. @dainessfrank @masai_mtukazi Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#tunaishinao2026#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
0
2 days ago
Download
Wakazi wa mtaa wa Kambarage na watumiaji wa barabara ya Magereza-Matalawe wanatarajia kunufaika na matumizi ya taa za barabarani baada ya serikali kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo unaoendelea kwa kiwango cha lami.Mbunge wa jimbo la Njombe mjini Deodatus Mwanyika amebainisha hayo leo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja linaloendelea kujengwa katika eneo la mradi huo.“Serikali imeamua kujenga barabara ya uhakika itakayobadirisha kabisa muonekano wa eneo hili kwa maana madaraja mpaka taa za barabarani “amesema Mwanyika.Awali Mwenyekiti wa mtaa wa Kambarage Francis Msanga amesema wananchi wanayofuraha kutokana na ujenzi huo kwa kuwa walikuwa hawaamini kama watajengewa barabara.Mhandisi Mary John Mnyanda ni mhandisiq wa TARURA Wilaya ya Njombe anasema mradi huo ni miongoni mwa barabara tano za halmashauri ya mji wa Njombe zinazotekelezwa kupitia mradi wa TACTIC kwa ufadhili wa benki ya Dunia ambapo wananchi wanakwenda kunufaika na miradi hiyo.Cc. @dainessfrank @masai_mtukazi Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.#tunaishinao2026#2026#kwaheshima#maishayakomuzikiwako #maishayakomaishayetu by @uplandsfm
1
2 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up