Instagram story viewer> @visionandtalent255> Posts
50
posts
795
followers
20
following
🎬 VISION & TALENT
Creative Arts Academy & Production🎥.
📍Tandika, Dar es Salaam – Tanzania.
📞 +255 792 216 012
✨ Discover. Train. Perform.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Karibu Vision & Talent 🎭Safari yetu inaanza na kiongozi wetu Director Mustapha Machupa @dr_machupa1 – CEO na akili nyuma ya miradi mikubwa kama Kombolela Series na Jivu.Chini ya uongozi wake, Vision & Talent inaleta pamoja elimu ya sanaa na uandaaji wa filamu, tamthilia, makala na matangazo ili kukuza vipaji na kusimulia hadithi zenye kugusa maisha.@officialsalha_abdallah @_7kali_ @fafpictures #jifunze #elewa #pambaniandotoyako by @visionandtalent255
18
a year ago
Download
Tunamtambulisha kwa heshima kubwa First Lady wa Vision & Talent – Mama mlezi na Boss wetu, Salha Abdallah aka Zuhura Kaoge @officialsalha_abdallah kutoka Kombolela Series.Zaidi ya kuwa msanii mwenye alama kwenye tasnia ya filamu Tanzania, yeye pia ni nguzo ya Vision & Talent – mama anayelea, kusimama bega kwa bega na vijana, na kusukuma mbele maono ya sanaa yenye kugusa jamii.@dr_machupa1 @_7kali_ @fafpictures #Visionandtalent #jifunze #elewa #pambaniandotoyako by @visionandtalent255
25
10 months ago
Download
Katika safari ya sanaa, kila msanii anahitaji mwalimu, mlezi na nguzo ya kumwangazia njia.Vision & Talent inajivunia kuwa na Mwalimu, Mwenyekiti na Mlezi ambaye si tu anafundisha sanaa kwa umahiri, bali pia analea vipaji na kuvitoa kwa ujasiri kwenye soko la kimataifa 🌍. Mwalimu @_7kali_Zaidi ya hapo, amekuwa pia Director, Writer na Editor wa kazi zetu nyingi ikiwemo TUNU SERIES na GIZA SERIES zinazobamba kwenye Channel ya Faf Pictures @fafpictures YouTube 📺.Chini ya mwongozo wake, tunajifunza kuwa sanaa ni zaidi ya burudani – ni urithi, ni lugha ya ulimwengu.@officialsalha_abdallah @dr_machupa1 #jifunze #elewa #pambaniandotoyako by @visionandtalent255
14
a year ago
Download
Set…Making MJUMBE SERIES kama bado haujaitazama ingia youtube andika MJUMBE .@fafpictures @visionandtalent255 by @visionandtalent255
6
4 days ago
Download
Nipe chafu nikupe safi 🎬. Mjumbe series youtube @fafpictures Produced by @officialsalha_abdallah Directed by @_7kali_ Creative director @dr_machupa1 #filamuitambe🍿🎬 by @visionandtalent255
270
4 days ago
Download
Wakikuuliza naendeleaje "vizuri zaidi ya jana,Mungu ana maguvu sana"Mjumbe ndio jina la mchezo 🍿🎬 by @visionandtalent255
29
5 days ago
Download
Naitwa Kalinga leo utanitizama kupitia mjumbe series.Nyumbani kwa mjumbe kuna kazi leo🍿🎬.#filamuitambe🍿🎬 by @visionandtalent255
30
5 days ago
Download
Mjumbe Ep10 ipo youtube ya Faf Pictures#mjumbe by @visionandtalent255
37
12 days ago
Download
Mjumbe EP6 imetoka na story ndo kwanzaa inaaanza tumeskia vilio vyenu wapendwa🙏🔥🔥twendeni youtube mjumbe tumekuwekea 🙏 by @visionandtalent255
8
a month ago
Download
Chiku kashaangalia mjumbe Ep4 kama bado wahi youtube andika MJUMBE ili kutazama Episodes zote 💃💃 by @visionandtalent255
21
a month ago
Download
Mjumbe EP4 iko tayari youtube ya FAF PICTURES by @visionandtalent255
6
a month ago
Download
kesho mapema MJUMBE EP4 itakuwa youtube ya FAF PICTURES halaaaa!!🔥🔥 by @visionandtalent255
4
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up