Instagram story viewer> @wasafmedia> Posts
134
followers
65
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kupitia ukurasa wa msanii @diamondplatnumz  ameposti kipande cha video hii kisha akaandika.  80Milion.
 Hakika hii ni kubwa sana kwake @diamondplatnumz 

#WAH @diamondplatnumz  ft @koffiolomide_officiel by @wasafmedia
0
5 years ago
Download
Familia ya wasafi media inazidi kuongezeka hakika mapenzi yenu ni makubwa sana  kwetu kwahiyo tukishindwa kusema shukurani  Tutakuwa tumefanya makosa makubwa sana juu yenu Kwahiyo sisi wasafi media tunashukuru sana kwa sapoti yenu  shukurani kubwa kwenu kwa kufanya media hii iendelee kushikilia namba moja @wasafifm  @wasafitv 

Tunawatakia siku njema pia karibu sana kwenye hii familia kubwa tena familia ya ushindi familia ambayo inaisha maisha ya upendo siku zote
  Tunatafuta 1M  #subscribe by @wasafmedia
0
5 years ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up