Instagram story viewer> @yanga_dar> Posts
5265
posts
65.7K
followers
108
following
TUFUATE KWA HABARI ZA NDANI KUHUSU YANGA AFRICAN πŸ”°
@yangasc
@yangasc_princess
YANGA APP πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
🚨AZIZI KI AOMBA KUVUNJA MKATABA πŸ‘‡Kiungo mshambuliaji wa Al Ittihad SC ya Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ, Stephanie Aziz KI anataka kuvunja mkataba wake ndani ya timu hiyo. Aziz Ki hana furaha na maisha ya Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ.Msimu ujao 2026/27 kuna watu hawatoleta timu uwanjaniπŸ˜…#once_mwananchi_always_mwananchi πŸ”° by @yanga_dar
102
2 months ago
Download
🚨JUMAA QAREEM πŸ™ πŸ€£πŸ€£πŸ’›πŸ’šπŸ”₯ by @yanga_dar
411
7 months ago
Download
πŸš¨πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ’›πŸ’šπŸ”₯ by @yanga_dar
5k
2 months ago
Download
🚨TUSONENI JAMANI TUSOMENI πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’šπŸ’›πŸ”₯ by @yanga_dar
19
2 hours ago
Download
🚨AZIZI KI LEO AMEFANYA MAZOEZI NA WACHEZAJI WA YANGA SC GYMKHANA πŸ‘‡Aliekua Kiungo wetu Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso πŸ‡§πŸ‡«, Stephanie Aziz Ki hii leo alionekana kwenye mazoezi na timu yetu ya Yanga yaliyofanyika kwenye uwanja wa Gymkhana.Aziz Ki amekuwa na maelewano mazuri na viongozi wetu ma hata yeye pia amesema anataka kuishi Tanzania msimu huu 2026/27.KWENYE WALE WHAT A PLEYAAA WALIOBAKI MSIMSAHAU AZIZI KI πŸ€©πŸ’šπŸ’›πŸ”₯ by @yanga_dar
3
2 hours ago
Download
🚨MWANETU HAJACHEZA HATA MECHI 1 KOMBE HILI LA DINIA πŸ† DAH KWELI KOCHA WA UFARANSA ALIZINGUA πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜­πŸ’šπŸ’›πŸ”₯ by @yanga_dar
0
5 days ago
Download
🚨yani hii nchi Kila kitu ni kujiamulia tu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’šπŸ’›πŸ”₯ by @yanga_dar
2
5 days ago
Download
🚨BODI YA LIGI IMETANGAZA RATIBA KUELEKEA MSIMU MPYA 2026/27 MECHI SIMBA vs YANGA ZAPANGWA πŸ‘‡Bodi ya Ligi imetangaza ratiba mpya ya Nbc Premier league msimu mpya 2026-2027.Mabingwa wa nchi Yanga watakutana na mahasimu wao Simba SC Tanzania π—’π—–π—§π—’π—•π—˜π—₯ 10,2026Simba Vs Yanga π—™π—˜π—•π—₯𝗨𝗔π—₯𝗬 6,2027Yanga Vs Simba ___________________________________________________________________________________ by @yanga_dar
0
5 days ago
Download
🚨KOCHA WA UFARANSA AMUOMBA RADHI N'GOLO KANTE KUTOMPA NAFASI πŸ—£οΈπŸ‘‡Mara baada ya kumalizika kwa mechi ya mwisho ya timu ya taifa ya Ufaransa kwenye Kombe la Dunia, kocha Didier Deschamps alikwenda moja kwa moja kwa N'Golo KantΓ© na kumkumbatia kwa upendo akijaribu kumfariji. Kocha huyo alimwomba radhi KantΓ© kwa kutompa dakika za kucheza kwenye mashindano haya.Mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 35, ingawa kuna uwezekano mkubwa akawa amehitimisha safari yake kwenye michuano ya Kombe la Dunia, hakumlalamikia kocha wake na badala yake alirudisha kumbatio hilo akiwa na tabasamu la kiungwana. Hatutawahi kusahau Kombe la Dunia la Urusi 2018; bila KantΓ©, sote tunajua Ufaransa isingekuwa bingwa. Ulimwengu na soka vinahitaji watu wengi wenye roho kama ya KantΓ©.NB: UNGEKUWA WEWE NDO KANTE UNGEKUBALI AU NDO KINAFKI 🀣🀣 by @yanga_dar
1
6 days ago
Download
πŸš¨πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’šπŸ’›πŸ”₯ by @yanga_dar
4
8 days ago
Download
🚨HAYA MAOMBI πŸ™ŒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’šπŸ’›πŸ”₯ by @yanga_dar
5
8 days ago
Download
🚨NA KUNA WATU HAWAIJUI HII CODE πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’›πŸ’šπŸ”₯ by @yanga_dar
6
11 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up