Instagram story viewer> @yangampya> Posts
8201
posts
279.3K
followers
3306
following
πŸ‘‰ 𝙔𝙀π™ͺπ™£π™œ π˜Όπ™›π™§π™žπ™˜π™–π™£π™¨ 𝙁𝙀𝙀𝙩𝙗𝙖𝙑𝙑 π˜Ύπ™‘π™ͺ𝙗 π™Žπ™ͺπ™₯π™₯π™€π™§π™©π™šπ™§π™¨
πŸ‘‰ π‘»π’Šπ’Žπ’– 𝒀𝒂 π‘Ύπ’‚π’π’‚π’π’„π’‰π’Š
πŸ‘‰ β“‚π•’π•“π•šπ•Ÿπ•˜π•¨π•’ 𝕄𝕒𝕣𝕒 32πŸ†
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Housseine Zakouani ni Mwananchi πŸ”°πŸ’ͺ

#timuyawananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko by @yangampya
0
20 hours ago
Download
Albert Kangwanda ni Mwananchi πŸ”°πŸ’ͺ

#timuyawananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko by @yangampya
0
20 hours ago
Download
Cheikh Ibrahima Toure ni Mwananchi πŸ”°πŸ’ͺ

#timuyawananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko by @yangampya
0
20 hours ago
Download
Karibu Jangwani kocha wa magolikipa Greg EtafiaπŸ‡³πŸ‡¬πŸ”°πŸ‘ŠπŸ½

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
0
4 days ago
Download
Karibu Jangwani, Tactical Performance Analyst Yardaan Valodia

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
3
4 days ago
Download
Karibu Jangwani, Set Piece Coach Kagisho Dikgacoi 

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
0
4 days ago
Download
Karibu Jangwani kocha msaidizi Simo DlaDla 

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
0
5 days ago
Download
β€œTunawashukuru Young Africans SC kwa kutambua na kuthamini mchango wa NIC Insurance katika safari yao ya mafanikio. Kutuletea makombe haya katika Maonesho ya Sabasaba ni heshima kubwa kwetu na ni uthibitisho wa ushirikiano imara unaojengwa juu ya kuthaminiana na kuaminiana. Tunajivunia kuwa sehemu ya historia hii na tunaendelea kujizatiti kuunga mkono juhudi zinazochochea mafanikio ya klabu.”
Karimu Meshack, Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano NIC

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
1
14 days ago
Download
Young Africans SC leo tulitembelea banda la NIC Insurance katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa klabu wa kuwashukuru na kuwatambua wabia wake kwa mchango wao katika safari ya mafanikio ya msimu.

Katika ziara hiyo, klabu ilikabidhi makombe matano ya Ligi Kuu ya NBC kwa NIC kama ishara ya kuthamini ushirikiano imara na wa muda mrefu uliopo kati ya pande hizo mbili, ambao umeendelea kuwa nguzo muhimu katika safari ya mafanikio ya Young Africans SC.

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
0
14 days ago
Download
Safari ya Makombe kwa Kocha wetu mkuu 𝐌𝐚𝐧πͺπ¨π›πš 𝐌𝐧𝐠πͺ𝐒𝐭𝐑𝐒 inaendelea hapa #mwakanitena 

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
0
15 days ago
Download
Karibu Young Africans SC Kocha Mkuu MANQOBA MNGQITHI πŸ”° πŸ’ͺ

#timuyawananchi 
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
2
15 days ago
Download
TAARIFA KWA UMMA 

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko by @yangampya
0
16 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up