Instagram story viewer> @yangascnewz> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
🟩🟨⬛UKURASA WETU WA FACEBOOK unazidi kusonga mbele kwa kasi. Followers Laki nne na Arobaini na moja (441k)🔥

Running to 1M...💨

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
1
4 days ago
Download
🟩🟨⬛MWANANCHI! Jifanye wewe ndio Kocha, Okay! Tupatie kikosi chako cha Ubingwa hapo🔥🔥🔥

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
1
2 hours ago
Download
🤨 by @yangascnewz
0
3 hours ago
Download
🟩🟨⬛ALIKAMWE AMETHIBITISHA KWAMBA YOUNG AFRICANS imefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji bora sana wa kimataifa ambaye anacheza namba 6 uwanjani (kiungo mkabaji).🔥🔥🔥

Ally ameongeza kuwa ukimtoa Aliou Dieng, kwa Afrika huyo aliyesajiliwa na Yanga ndiye namba moja kwenye nafasi hiyo msimu uliopita wa 2025/26🔥

Wananchi subirini utambulisho 🤝

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
9
3 hours ago
Download
🟩🟨⬛OOOH! Straika lingefunga, Tungekoma leo😄😄😄

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
2
4 hours ago
Download
🟩🟨⬛ALIKAMWE KUPITIA MAHOJIANO YAKE NA YANGA TV amesema kuwa kuna kiungo namba 6 amepatikana na atatambulishwa muda wowote.🔥

Lakini pia amesema kuwa kwenye orodha ya wachezaji waliotajwa tajwa sana (hao pichani) basi mmoja ni kweli amesajiliwa.

Vipi unahisi ni nani hapa?

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
4
4 hours ago
Download
🟩🟨⬛BAJETI YA UZINDUZI WA SHEREHE ZA YANGA DAY ni shilingi 147,150,000/= za kitanzania. Kumbuka uzinduzi utafanyika Katoro Geita, tarehe 4 mwezi ujao...✍️

Siku hiyo Kutakuwa na matukio mengi. Wasanii watakuwepo kwenye tukio hilo na bajeti yao ni shilingi 30,000,000/=. Kutakuwa na Ng'ombe 30 kwa ajili ya nyama choma, nk.

NB: Uzinduzi ni tarehe 4, na YANGA DAY ni tarehe 9🔥

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
3
4 hours ago
Download
Huyu kocha ana balaa zito, hacheki na wowote🔥🔥🔥

#nelloveupdates by @yangascnewz
0
5 hours ago
Download
🟩🟨⬛MALENGO YA YANGA SC ndani ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao ni kufika Robo Fainali...✍️

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
1
6 hours ago
Download
🟩🟨⬛VIJANA WANAJUA SOKA, USHINDI KILA MARA. Yes! Mchezo wa Yanga SC ya vijana dhidi ya TDS 1 umemalizika kwa ushindi walioupata Wananchi, ushindi wa mabao 2-0🔥🔥

FT: TDS 1 U17 🔵0-2🟢 Yanga SC U17 

🟢Reny 23'
🟢Justine 84'

Hongera sana vijana wetu👏👏👏

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
1
6 hours ago
Download
🟩🟨⬛MFAHAMU KWA UFUPI WINGA MPYA WA YANGA SC, HOUSSEINE ZAKOUANI...✍️

Anaitwa Housseine Zakouani Saïd mwenye umri wa miaka 28. Ni raia wa Comoros ila alizaliwa katika jiji la Marseille, Ufaransa. Anacheza kama winga wa kulia (Right Winger) na anatumia mguu wa kulia, huku akiwa na uwezo wa kucheza winga ya kushoto na kiungo mshambuliaji.🔥

Zakouani ametokea akademi ya Olympique de Marseille (Ufaransa) na amepita vilabu vya Trikala FC (Ugiriki), Aubagne, Jura Sud, Châteauroux (Ufaransa), na Al-Zulfi FC (Saudi Arabia).

Mwamba huyo ambaye ni staa tegemeo wa timu ya Taifa ya Comoros, ametua Young Africans akitokea Al Zulfi FC na atakuwepo mpaka mwaka 2028.

Karibu sana @hzakouani 🙏

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
1
7 hours ago
Download
🟩🟨⬛NAMBA 6 YA MAANA SANA. Bila shaka umesikia sikia huko, Okay! Unahisi huyu mwamba ni nani?🤔🔥

#nelloveupdates 
#daimambelenyumamwiko by @yangascnewz
24
8 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up