Instagram story viewer> @young_father255> Posts
2.9K
followers
3718
following
๐Ÿ…†๐Ÿ„ด๐Ÿ„ป๐Ÿ„ฒ๐Ÿ„พ๐Ÿ„ผ๐Ÿ„ดโšƒโš…โœฐโ—ขโ—ค๐Ÿ…ƒ๐Ÿ„พโ—ฅโ—ฃโœฐโš…โšƒโ—‘ โ—‘โšƒโš…โœฐโ—ขโ—ค๐Ÿ„ผ๐Ÿ…ˆโ—ฅโ—ฃโœฐโš…โšƒโ—๐Ÿ„ฟ๐Ÿ…๐Ÿ„พ๐Ÿ„ต๐Ÿ„ธ๐Ÿ„ป
Lebo - @wbt_walabata_
agent of @biebar_20
POSTS STORIES REELS TAGGED
Upendo huacha kumbukumbu zenye barakaโœจ๏ธ

#friendforever #peaceandloveโœŒ 
#sautirevival #memories taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_father255
5
4 months ago
Download
Nitashuhudia popote niendapo ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Sound by @sauti_revival_tz taken in Chemba District by @young_father255
3
7 months ago
Download
Kila hatua unayo piga mkumbushe mungu kuiongoza.
 Bila mungu hatutoboi๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

#sautirevival #ongozahatuazangu 
#tanzania #gospel #kenya taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_father255
3
7 months ago
Download
Ni kweli kuna wakati tunapitia mugumu mengi mno na kushindwa kutambua la kufanya moyo wenyewe unachoka...

lakini yupo MUNGU mkumbushe asinyamaze kimya.
@sauti_revival_tz 
@arise_and_shine_tz 
#araiseandshine #sautirevival 
#usinyamaze #tanzania #viralvideos taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_father255
2
7 months ago
Download
Kwenye kila unalo lifanya, kuhakikisha mambo yanakuwa sawa, nakuombea
Baraka za Mungu ziwe nawe mpambanaji.
 Amen ๐Ÿ™๐Ÿฝ 

#sautirevival #barikikaziyangu 
#motivation #gospel #tanzania taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_father255
0
7 months ago
Download
Asante kwa upendo wakoโค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ.
Asante kwa wema na rehema ๐Ÿ˜‡โœจ๏ธ
Nitashudia kote niendako ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ’ซ

#sautirevival #gospelmusic 
#newaccount #virel #music 
@ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_father255
3
8 months ago
Download
Road trips in Tanzania: not just travel, but a full workout for your eyes โ€“ scenery so good you canโ€™t stop staring!๐Ÿ˜€ 
โ€œEvery mile is a lesson, every view a blessing. Traveling through Tanzania is a beauty without end. ๐ŸŒโœจ๐Ÿš˜.
โ€œSafari si tu kusafiri, ni gym ya macho, kila upande kuna mandhari yanayokufanya usisahau kutazama. Tanzania bana! ๐Ÿš˜๐ŸŒ.
#tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #utaliiwandani๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #tanzanianationalpark by @young_father255
0
a year ago
Download
"Celebrating the champions, living the legacy๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ..... "Green and yellow spirit, champions forever๐Ÿ†๐Ÿ† 
"Mapenzi ya dhati, damu ya kijani na njano ๐Ÿ’š๐Ÿ’› #YangaDay #DaimaMbeleNyumaMwiko" ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’š๐Ÿ’› ๐Ÿ“Œ. 
#wananchiday2025 
#yangaday2025 
#godfirst #godisgoodallthetime taken in Benjamin William Mkapa Stadium by @young_father255
11
a year ago
Download
#binadamu taken in Chaka Flani Hiv by @young_father255
6
a year ago
Download
#familyfirstโค๏ธ #homesweethome 
Kila mwenye hekima hutambua ni sehem gani ya kujifanya mjinga.๐Ÿ˜Ž
@biebar_20 
@chimbo_la_vijana_ taken in Mbeya, Tanzania by @young_father255
4
a year ago
Download
Imeandikwa na @young_father255 

Raha ya Mpira baada ya dakika 90 ni hisia na mapenzi ya mashabiki .

Shabiki wa timu ya Wagonga Nyundo Fc alitoa machozi baada ya kuchapika Goli Nne licha ya usajili mkubwa walio fanya wakiwa uwanja wa nyumbani.

Mashindano ya KONKILANGI BRIDGE yanayo dhaminiwa na @shebby_dundo .

@soka_youths @tanfootball taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_father255
2
a year ago
Download
Imeandikwa na mwanasoka @young_father255

 @tanfootball  lazima wajitazame wanakosea wapi ili walekebisha kwanini wakati wa kufuzu tunakuwa imara wakati wa mashindano tunakuwa zaifu kukosa alama kabisa nishara kuna sehemu tumekosea .

 Ukitazama kikosi kilicho itwa hakuna shida  niwachezaji wachache walio kosekana kwenye atua ya kufuzu shida ipo wapi kwenye mandalizi au aina ya mashindano tunaenda kama washiliki sio washindani niwapi tunakosea ?

Tunaitaji mabadiliko ili kutangaza zaidi soka letu kuazia ngazi za vijana tukifanya vizuri uko chini tunaweza tengeneza timu ya taifa bora badae kupita  hawa vijana watakao Fanya vizuri Leo .

@chimbo_la_vijana_ Jezy na Sim Bei Kitonga 

@sokayouths @tanfootball taken in Dar-es-alaam, Tanzania by @young_father255
2
a year ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up