Instagram story viewer> @young_jux01> Posts
406
posts
9.5K
followers
4268
following
TOTO LA🤱🏽KHADIJA
Dancer From East Africa🇹🇿
🙏In God,we trust
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Wakati wa mungu ndio wakati sahihi 🙏 Siwezi kuelezea furaha yangu ila mmeshow love sana! Asanteni sana chuo cha maji na my brother @dayoo_tz we killed it! 🔫

Big up pia kwa @waterinstitute__wiso @wiso_waterinstitute 🔥🏌️ by @young_jux01
25
2 years ago
Download
Another One From My Brother @chino_kidd7 😁 Tuna #Tiririka kam Hivi 😁🙏🏻 Join Our challenge Now lets Goooo 🏌️‍♂️

Artist : @chino_kidd7 @lintonto.mf2 @xman.rsa @mfanakahgogo @deestar_za 

Cc : @dogo_noma9 @iamzeustz 
@wanaman_gang taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
67
a year ago
Download
Sina competition hata kwenye huu ustar💫
Sina competition hata kwenye kuvaa😜🤗

#Competitiondancechallenge 🕺💃

Song 🎧: @poshboy_yd @papy_sk @daddy_bway 
@platform_tz @s2kizzy 

Enjoy god music kutoka kwa my brothers 🎧🔥🏌️ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
36
a year ago
Download
Its Fridaaay Muda Wa Kuburudika Umefika Brothers @hansloy_1 ft @chino_kidd7  #DOO_Dance_Challenge Ndio Tunaifungua Kwa Vibe Kama Hivii 🔥Tunawakaribisha Dancers Wote Kushiriki Hii  New Dance Challenge🔥🏌️

Dc: @young_jux01 

@alvinny66 @twiga_wanaman

🎥: @muumiles taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
48
8 days ago
Download
The best is yet to come. ✨ by @young_jux01
27
17 days ago
Download
Maisha yamenifundisha kwamba hakuna safari iliyo nyepesi. Nimepitia changamoto ambazo zilinifanya niwe na nguvu zaidi, na nimeona mafanikio ambayo yamenikumbusha kuwa subira, juhudi na imani huzaa matunda.

Ninamshukuru Mungu kwa kila hatua ya maisha yangu. Nawashukuru wazazi wangu kwa msingi imara walioniwekea, familia yangu kwa upendo usioyumba, na ndugu, jamaa pamoja na marafiki ambao wamekuwa bega kwa bega nami katika nyakati za furaha na za majaribu.

Sitasahau nilipotoka, mahali nilipozaliwa, kwa sababu ndipo ndoto yangu ilipoanza. Kila hatua niliyopiga leo imejengwa juu ya maadili, malezi na msaada nilioupata kutoka kwa watu walioniamini hata pale nilipokuwa bado sijafika nilipo leo.

Kwa kila aliyenipa ushauri, alinisimamia, aliniombea, alinipa nafasi au hata alinipa maneno ya kunitia moyo, asanteni sana. Mna nafasi ya kipekee katika safari yangu.

Safari bado inaendelea. Ninaamini yapo mengi mazuri mbele, na nitaendelea kufanya kazi kwa bidii huku nikibaki mnyenyekevu na mwenye shukrani. Mungu awabariki wote ambao mmekuwa sehemu ya hadithi yangu. ❤️🙏 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
62
23 days ago
Download
U.D.E WE GOO 💫♠️ @udede__ 🔥🏌️‍♂️ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
12
2 months ago
Download
#WADAIMA Official Video on all platforms Now, Link👇🏻Enjoy 🤍

Artist @udede__ 

Dancers : @young_jux01 @sam_keys77 @reycakimdoll @y.a.m.k.y 

B/s to all family who support this ❤️🔥

Twende tukaenjoy muziki mzuri 🙌🏿🔥🔥 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
15
2 months ago
Download
SINGELI TO WORLD 🌎 TURUDIANE BEAT 🎶

LETS GOOOO MY GEE @stizo_tz 👑

TURUDIANE BEAT DANCECHALLENGE 🔥🏌️‍♂️ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
15
3 months ago
Download
ANKOOO @chino_kidd7 UMEPENDEZAJE UKOOO 🔥🏌️‍♂️

FASHION DANCECHALLENGE 🎶 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
29
3 months ago
Download
@diamondplatnumz 🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁👑

#diamondplatnumz #joy #reels #trending #fypreelsシ゚viralシ by @young_jux01
49
3 months ago
Download
ONE LOVE ❤️⭐️ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @young_jux01
20
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up